Unakuta mtu anaulizia kuhusu biashara unayofanya uumpe dodoso ili ikiwezekana nae akafanye ila cha kwanza anauliza kwa siku unaingiza shingapi au kwa mwezi, yaani mtu kama huyu matarajio yako mbele kuliko biashara yenyeweHapa motivesheni spika wameharibu sana
Hapo bongo biashara ningumu sana ukilinganisha na nchi zingine.Yaani biashara ni rahisi sana kwa kuongea na kwenye maandishi, wakuta mtu ananunua na kuuza na kupata faida kwa muda maalum kabisa kwa maneno yaani utazani ni one way hadi kufanikiwa.
Nawasihi tuu kwa wanaoanza from beginning hasa vijana waliokosa ajira na kulazimika kufanya biashara, biashara ni maisha fanya kama daily routine usiwe na matarajio makubwa sana wala usiifanye kimazoea.
Opportunities za biashara bado ziko nyingi sana ila shida ni mifumo na miundombinu inafanya biashara iwe ngumuHapo bongo biashara ningumu sana ukilinganisha na nchi zingine.
Halafu wanakuja kukufanya kuwa motivesheni kwa wengineBiashara ni Ngumu sana lakini ukishatoboa, umetoboa. Kipindi cha burning ndo watu huwa hawakijui kabisa wanadhani unaDevelop kaApp kako unakaweka Playstore unaanza kupiga hela[emoji23][emoji23] kumbe ni zaidi ya hapo. NB: Nmetolea tu mfano wa App
Utaskia unamuona Jane, alianzaga na kipande kimoja tu cha sabuni sasahvi ana kiwanda kikubwa cha Organic Cosmetics [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] its possible, wake up mapema, panga mipango yako, ishi ndoto zako. HahahHalafu wanakuja kukufanya kuwa motivesheni kwa wengine
😀😀😀😀😀😀😀😀Utaskia unamuona Jane, alianzaga na kipande kimoja tu cha sabuni sasahvi ana kiwanda kikubwa cha Organic Cosmetics [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] its possible, wake up mapema, panga mipango yako, ishi ndoto zako. Hahah
Biashara popote sio ngumu ukiifanya kuwa ndio maisha(ila usiifanye kimazoea) ndo maana tunashauriwa tufanye tunachokipendaHapo bongo biashara ningumu sana ukilinganisha na nchi zingine.
Kuna mmoja alisema alianza kumiliki bus la abiria akiwa na miaka 19, motivators kwenye maneno wapo vizuriUtaskia unamuona Jane, alianzaga na kipande kimoja tu cha sabuni sasahvi ana kiwanda kikubwa cha Organic Cosmetics [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] its possible, wake up mapema, panga mipango yako, ishi ndoto zako. Hahah
Shida ya bongo wengi wanapenda sana kusupport wageni kutoka mataifa mengine Jamba ambalo sijawai kulisikia au kuliona nchi nyingine zaidi ya nyumbani.Biashara ni Ngumu sana lakini ukishatoboa, umetoboa. Kipindi cha burning ndo watu huwa hawakijui kabisa wanadhani unaDevelop kaApp kako unakaweka Playstore unaanza kupiga hela[emoji23][emoji23] kumbe ni zaidi ya hapo. NB: Nmetolea tu mfano wa App
Wakati huo wamefungua darasa wanakusanya ada za mahudhurio wao hawataki kuanzisha biashara.Utaskia unamuona Jane, alianzaga na kipande kimoja tu cha sabuni sasahvi ana kiwanda kikubwa cha Organic Cosmetics [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] its possible, wake up mapema, panga mipango yako, ishi ndoto zako. Hahah
Pia usiifanye kama kimbilio baada ya kuachishwa kazi au kufeli maisha.Biashara popote sio ngumu ukiifanya kuwa ndio maisha(ila usiifanye kimazoea) ndo maana tunashauriwa tufanye tunachokipenda
ila ukiifanya kwa kufata formula ukiwa na uhakika utafikia jibu la mafanikio kwa formula utachanganyikiwa mapema
Tatizo la wabango mnapenda kuongea sana ukute hata genge la nyanya mbili hapo huna,lakini mtandaoni ni mwali wa kufundisha biashara.Biashara popote sio ngumu ukiifanya kuwa ndio maisha(ila usiifanye kimazoea) ndo maana tunashauriwa tufanye tunachokipenda
ila ukiifanya kwa kufata formula ukiwa na uhakika utafikia jibu la mafanikio kwa formula utachanganyikiwa mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh, kama alirithi ni sawa.Kuna mmoja alisema alianza kumiliki bus la abiria akiwa na miaka 19, motivators kwenye maneno wapo vizuri
Wabongo pia wengi sana wajanja wajanja sana nadhani unaelewa, wapo wachache real ila most of them wajanja wajanja sana[emoji23][emoji23][emoji23]Shida ya bongo wengi wanapenda sana kusupport wageni kutoka mataifa mengine Jamba ambalo sijawai kulisikia au kuliona nchi nyingine zaidi ya nyumbani.
Kiuchumi ni tatizo pesa zikibaki nyumbani au mwenzenu akitoka akafanyikiwa jamii nzima imefanyokiwa.
Yaah, utaskia Sky isnt the limit[emoji23][emoji23][emoji23] wakina nanananiaje. Actually their business is selling words huo ndo upande wao wa Entrepreneurship but personally mtu ambae anarun business real akiweka fee nilipie kumsklza i will sio hawa ambao hawajawah kuuza ata pipi.Wakati huo wamefungua darasa wanakusanya ada za mahudhurio wao hawataki kuanzisha biashara.
Wana misemo yao ya Kuquote na kurahisisha maisha utawasikia"Everything is possible if you decide it"[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu kuna kabiashara nakafanya apa cha moto nakiona tofauti na nilivyo hamasishwa na kusoma kwenye vitabu bila kushusha ile vibe siwezi toboaTatizo la wabango mnapenda kuongea sana ukute hata genge la nyanya mbili hapo huna,lakini mtandaoni ni mwali wa kufundisha biashara.