Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
- Thread starter
- #21
Unakuta mtu anaulizia kuhusu biashara unayofanya uumpe dodoso ili ikiwezekana nae akafanye ila cha kwanza anauliza kwa siku unaingiza shingapi au kwa mwezi, yaani mtu kama huyu matarajio yako mbele kuliko biashara yenyeweHapa motivesheni spika wameharibu sana