Biashara ya kwenye maandishi tamu sana

Biashara ya kwenye maandishi tamu sana

Yaani biashara ni rahisi sana kwa kuongea na kwenye maandishi, wakuta mtu ananunua na kuuza na kupata faida kwa muda maalum kabisa kwa maneno yaani utazani ni one way hadi kufanikiwa.

Nawasihi tuu kwa wanaoanza from beginning hasa vijana waliokosa ajira na kulazimika kufanya biashara, biashara ni maisha fanya kama daily routine usiwe na matarajio makubwa sana wala usiifanye kimazoea.
Hapo bongo biashara ningumu sana ukilinganisha na nchi zingine.
 
Biashara ni Ngumu sana lakini ukishatoboa, umetoboa. Kipindi cha burning ndo watu huwa hawakijui kabisa wanadhani unaDevelop kaApp kako unakaweka Playstore unaanza kupiga hela[emoji23][emoji23] kumbe ni zaidi ya hapo. NB: Nmetolea tu mfano wa App
 
Biashara popote sio ngumu ukiifanya kuwa ndio maisha(ila usiifanye kimazoea) ndo maana tunashauriwa tufanye tunachokipenda

ila ukiifanya kwa kufata formula ukiwa na uhakika utafikia jibu la mafanikio kwa formula utachanganyikiwa mapema
 
Utaskia unamuona Jane, alianzaga na kipande kimoja tu cha sabuni sasahvi ana kiwanda kikubwa cha Organic Cosmetics [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] its possible, wake up mapema, panga mipango yako, ishi ndoto zako. Hahah
Kuna mmoja alisema alianza kumiliki bus la abiria akiwa na miaka 19, motivators kwenye maneno wapo vizuri
 
Biashara ni Ngumu sana lakini ukishatoboa, umetoboa. Kipindi cha burning ndo watu huwa hawakijui kabisa wanadhani unaDevelop kaApp kako unakaweka Playstore unaanza kupiga hela[emoji23][emoji23] kumbe ni zaidi ya hapo. NB: Nmetolea tu mfano wa App
Shida ya bongo wengi wanapenda sana kusupport wageni kutoka mataifa mengine Jamba ambalo sijawai kulisikia au kuliona nchi nyingine zaidi ya nyumbani.

Kiuchumi ni tatizo pesa zikibaki nyumbani au mwenzenu akitoka akafanyikiwa jamii nzima imefanyokiwa.
 
Utaskia unamuona Jane, alianzaga na kipande kimoja tu cha sabuni sasahvi ana kiwanda kikubwa cha Organic Cosmetics [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] its possible, wake up mapema, panga mipango yako, ishi ndoto zako. Hahah
Wakati huo wamefungua darasa wanakusanya ada za mahudhurio wao hawataki kuanzisha biashara.
Wana misemo yao ya Kuquote na kurahisisha maisha utawasikia"Everything is possible if you decide it"[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Biashara popote sio ngumu ukiifanya kuwa ndio maisha(ila usiifanye kimazoea) ndo maana tunashauriwa tufanye tunachokipenda

ila ukiifanya kwa kufata formula ukiwa na uhakika utafikia jibu la mafanikio kwa formula utachanganyikiwa mapema
Pia usiifanye kama kimbilio baada ya kuachishwa kazi au kufeli maisha.
 
Biashara popote sio ngumu ukiifanya kuwa ndio maisha(ila usiifanye kimazoea) ndo maana tunashauriwa tufanye tunachokipenda

ila ukiifanya kwa kufata formula ukiwa na uhakika utafikia jibu la mafanikio kwa formula utachanganyikiwa mapema
Tatizo la wabango mnapenda kuongea sana ukute hata genge la nyanya mbili hapo huna,lakini mtandaoni ni mwali wa kufundisha biashara.
 
Shida ya bongo wengi wanapenda sana kusupport wageni kutoka mataifa mengine Jamba ambalo sijawai kulisikia au kuliona nchi nyingine zaidi ya nyumbani.

Kiuchumi ni tatizo pesa zikibaki nyumbani au mwenzenu akitoka akafanyikiwa jamii nzima imefanyokiwa.
Wabongo pia wengi sana wajanja wajanja sana nadhani unaelewa, wapo wachache real ila most of them wajanja wajanja sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati huo wamefungua darasa wanakusanya ada za mahudhurio wao hawataki kuanzisha biashara.
Wana misemo yao ya Kuquote na kurahisisha maisha utawasikia"Everything is possible if you decide it"[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Yaah, utaskia Sky isnt the limit[emoji23][emoji23][emoji23] wakina nanananiaje. Actually their business is selling words huo ndo upande wao wa Entrepreneurship but personally mtu ambae anarun business real akiweka fee nilipie kumsklza i will sio hawa ambao hawajawah kuuza ata pipi.

You don't need motivation, You need discipline in business.
 
Tatizo la wabango mnapenda kuongea sana ukute hata genge la nyanya mbili hapo huna,lakini mtandaoni ni mwali wa kufundisha biashara.
Mkuu kuna kabiashara nakafanya apa cha moto nakiona tofauti na nilivyo hamasishwa na kusoma kwenye vitabu bila kushusha ile vibe siwezi toboa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh, kama alirithi ni sawa.
Hahahh eti la kurithi, anakwambia familia kwao wakulima wa jembe la mkono fatilia post za nyuma za millard ayo utaiona
 
Back
Top Bottom