inakera sana watu wanavyobeza hizi barua
tanzania hatutafikia level ya maendeleo inayostahili mpaka wananchi watakapoamka na kuhoji utendaji wa serikali na bunge
swali kwenye hizi barua;
1. it is a fact kuna watanzania wamefungwa nje ya nchi kutokana na madawa ya kulevya, je jeshi letu makini la polisi limeomba ushirikiano wa uchunguzi ikiwezekana kwenda kuwahoji hawa wafungwa na kujua wamefikaje kwenye hayo matatizo?
2. kuna drugs lords wametajwa kwenye hizi barua, je jeshi la polisi limefanya uchunguzi wa awali kujua vipato vyao ni halali au hapana kwa kuanzia tu?
kuna mambo mengi ya kiuchunguzi jeshi la polisi makini linaweza faidika na hizi barua si kuzibeza tu