Biashara ya Madawa ya Kulevya: Wafungwa wa Kitanzania Hong Kong waendelea kufunguka

Biashara ya Madawa ya Kulevya: Wafungwa wa Kitanzania Hong Kong waendelea kufunguka

ninapata mashaka na authenticity ua hizi barua, naona hazina uhalisia..nyingi ni za kutungwa
 
nataka update ya mwakyembe vipi ameshawataja vigogo wanaouza unga??
 
Wanaobisha ni mizaha tu ya Kitanzania na/au wananufaika.

Ingia Wavuti sasa hivi kuna Press release ya Hongkong airport.
Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya Serikali ya nchi hiyo na picha zinazoambatana na taarifa hiyo vimepachikwa hapo chini. Bofya picha moja moja kuzikuza kwa muonekano mkubwa zaidi na unaosomeka.

Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2c8KhXCeE
wanasema jinsi walivywakamata watanzania na madawa ya kulevya yaliojazwa kwenye Chuma ambacho mmiliki wake alidai ni Gear.Wakakikata kujua kilichomo ndani ndipo walipokuta unga wa heroin.

Kuna hadi picha za ukataji wa kile chuma, inawezakana basi labda kuna watu wanatuchukia sana watanzania hadi wanatengeneza haya mauongo.
 
Wana JF,

Hizi habari kuna watu wanaziona kama ni za uzushi,uongo na kutaka kuchafuliana majina. Hayo ni mawazo mfu kabisa!
The DRUG BUSINESS AND DRUG BARONS are there to stay. Claiming that these are fake letters from inmates in HongKong doesn't add any value to ANTI NARCOTICS Strategies!

Kama Ridhwani Kiwete has been mentioned by HK inmates as one of those DRUG BARONS,why not President Kiwete repond to allegations by sending squad of Tanzania Police Force to Hong Kong to investigate and come with a plain truth of what is happening over there in HK?

Keeping quite for Kiwete and his on Riz1 means a BIG YES TO DRUG BUSINESS!

Labda sasa serikali yetu ilalamike kuwa inachafuliwa na Hong kong kama habari hizi ni za uongo na serikali ya Hong kong iseme kwanini wanatuchafua.
 
ninapata mashaka na authenticity ua hizi barua, naona hazina uhalisia..nyingi ni za kutungwa

nakubaliana na wewe pia mkuu stroke je, ni uongo pia kuna watanzania zaidi ya mia mbili huko jela HK na ni uongo pia kuna mwingine amekamatwa jana akiwa na grenda?
 
Last edited by a moderator:

Issue ni authenticity ya barua iliyobandikwa hapa...
 
Majina yako wapi sasa?

This observation of yours has hardly blown my spine!
The war has been left to nobody, and the media is just murmuring at no action and support from the organs empowered on the war.

I was shocked just a day ago to see the Minister inspecting the airport corridors and interrogating the airport officials who seemed to have no idea of what is actually transpiring!
My question is, will a sole Minister's endevours save the nation from its death-bed?.,Obviously big No!

For the purpose of opening the eyes of those who do not know, the proceeds from drug dealings have been injected into our National budget for quite a period and that is the reason the top officials of our Gvnment do not dare to wage any wars against that lucrative but doom-biz!

And bcoz our politicians dont take no actions on this dirty deal, we the citizens have to decide. There is only one option left to wipe out this shameful and satanic trade...putting in place a clean government.

It takes collective efforts to fight this big war to victory. Other than that its a loss.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hiyo barua imajaa malalamiko bila kutaja jina hata moja la wahusika wakuu wa madawa ya kulevya. Imepunguza radha.Punda wanatakiwa wawataje wanaowabebesha. Vingenevyo tutaishia kulalamiko bila wahusika wakuu kukamatwa. Naunga mkono maandishi hapo chini

"The worst is that the article also mentioned that President Jakaya Mfaume Mrisho Kikwete is one of the veteran advocates in the war against narcotics. I am interested by the sub-heading "Big traffickers" and the fair question is: who are the big traffickers? The article has missed the point and failed to explain who are the big traffickers, and apparently Mr President is holding the names of those alleged as big traffickers, instead of exposing them to the nation as he vowed during the time of his campaign in 2005".
 
jamaa amepata taabu kweli ya kuchonga mwandiko ili asijulikane, hii vita ni kubwa tuwe waangalifu sana, watu wasipokuona lakini Mungu anakuona. "TUMCHE MUNGU KWA DHATI YA MKUMCHA"

leo ndio unagundua kuwa kumcha Mungu ni vizuri kwa sababu watu usiotaka watajwe kwenye list wa wazungu wa unga wametajwa? mbona hukushauri kumcha Mungu wakati watu wanauawa bila kosa? mbona hukusema watu wamche Mungu wakati wa kusign mikataba mibovu inayogharimu maisha ya watanzania? epa wameiba, uswisi wameficha fedha, watu wanafunguliwa mashtaka wasiyostahili yote hukuwahi kukumbuka kuwa Mungu ni wa kumcha tena na kuwa na hofu juu yake! mh haya waonye watakusikiliza
 
In Tanzania we do have drug abuse problem, we have drug barones, our institution are somehow corrupt, but these letters of today are totally fake and orchested to tarnish Tanzania, and are politically motivated. It's a very pathetic move. Ni uongo wa hali ya njuu,

Uongo ni upi mnakataa huyo dogo hauzi Unga?!

Kama vitu hamjui ni bora mkakaa kimya watu tunajua vingi na tumenyamaza tu haina haja ya kuhatarisha maisha yako kwa jambo ambalo hata watawala hawana nia ya kulishughulikia.

Ila mengi ya kwenye hizo barua ni UKWELI hata kama ni za kuchonga.
 
Wana JF kwa akili yangu na uwezoa wa kutambua mambo hivi barua mbili zipo kisiasa zaidi!! Ukweli ni huo ni kweli Tanzania kuna tatizo kubwa la drugs trafficking lkn hizo barua ni fake kwa 95%.. Ninasema hivo nikiwa navaa uhalisia wa aliyeko jela napata picha sio Mwenye kuandika haya!! hii barua imetengenezwa hapa hapa bongo.
1,,Kama mtu amefungwa kwa madawa na aliemsababishia yupo Uraiani hawezi kuendelea kutunza siri za aliempa janga hilo ni wazi angemtaja bosi wake au angesema wazi picha halisi.
2..Mwandishi ameongea mambo utafikilia yupo bongo na ameondoka jana tu!! na wawli amesema amekua jela mda mrefu.
ni kweli kuna tatizo ila tusitumie njia zisizofaa kuona zitatusaidia
 
Serikali imeshindwa kabisa kutoa fursa za ajira kwa Watanzania.

Watanzania wazawa hawana fursa ya kupata mkopo nafuu wajiajiri- PESA zipo Uswisi

Mashamba mazuri na makubwa wamepewa wazungu, Viongozi wana mashamba makubwa na viwanja Kigamboni

nchi haina usalama, risasi, mabomu, pembe za ndovu

Sasa ajira hakuna na vijana ni masikini, ni rahisi kutumika na wanasiasa wanaojineemesha na rasilimali za nchi.

Watanzania tuamke sasa!!!

Form 4 failures

Umenena vema mkuu
 
Wana JF,

Hizi habari kuna watu wanaziona kama ni za uzushi,uongo na kutaka kuchafuliana majina. Hayo ni mawazo mfu kabisa!
The DRUG BUSINESS AND DRUG BARONS are there to stay. Claiming that these are fake letters from inmates in HongKong doesn't add any value to ANTI NARCOTICS Strategies!

Kama Ridhwani Kiwete has been mentioned by HK inmates as one of those DRUG BARONS,why not President Kiwete repond to allegations by sending squad of Tanzania Police Force to Hong Kong to investigate and come with a plain truth of what is happening over there in HK?

Keeping quite for Kiwete and his on Riz1 means a BIG YES TO DRUG BUSINESS!

Makoye,ni kweli kama ID yako ilivyo nasema makoye matale.hata hivyo sikuungi mkono kutuma polisisiemu waende huko HK kufanya uchunguzi,ni afadhali chombo huru kiundwe na ikibidi kihusishe na vyombo vya nje vyenye kuaminika,mimi siwaamibi polisisiemu hata kidogo,afterall na wao ni watuhumiwa.
 
Usilete pumba hapa JF, Barua fake hii, kwa nini unazunguka zunguka/,una majina taja,
 
majibu ya watanzania utadhani wamekatwa vichwa..ni matusi mizaha...km walivyokuwa wkaitania wanaojituma kujua mambo,kwa kuwaita wametumwa na kijiji sjui nini na nini..

thread nyingi hmu ndi majibu yao ya hovyo...mijinga gadi haiwezi tena ditect ujinga let alone source ya ujinga wao.Halafu ipo fast utadhani inahakika na ifanyayo.
Mkuu unashangaa viwili wili kufanya mzaha wakati kichwa cha nchi hii ndiyo style yake?
 
Back
Top Bottom