Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yumo atatajwa tu,pia ni muda muafaka kwake kutathimini kazi zake kama zinauhalali pasipo na shaka!Je Dr. Mwakyembe ataweza kumtaja "dogo" hadharani??ngoja tuone.
ngumu kumeza barua zime andikwa kwa ustadi kma zile za mabingwa wa kuandika essay
kuna mtu tena makini na msomi yuko behind hizi wala sio wabeba sembe
mambo hayo unayoyasema ufanyika kwenye nchi ya haki na sheria ya kweli sio ya mdomoniinakera sana watu wanavyobeza hizi barua
tanzania hatutafikia level ya maendeleo inayostahili mpaka wananchi watakapoamka na kuhoji utendaji wa serikali na bunge
swali kwenye hizi barua;
1. it is a fact kuna watanzania wamefungwa nje ya nchi kutokana na madawa ya kulevya, je jeshi letu makini la polisi limeomba ushirikiano wa uchunguzi ikiwezekana kwenda kuwahoji hawa wafungwa na kujua wamefikaje kwenye hayo matatizo?
2. kuna drugs lords wametajwa kwenye hizi barua, je jeshi la polisi limefanya uchunguzi wa awali kujua vipato vyao ni halali au hapana kwa kuanzia tu?
kuna mambo mengi ya kiuchunguzi jeshi la polisi makini linaweza faidika na hizi barua si kuzibeza tu
Hao wafungwa mbona hawataji majina?! Wanaogopa nini wakati wako kifungoni na hakuan kuhatarisha maisha? Hizi barua siziamini....
Je Dr. Mwakyembe ataweza kumtaja "dogo" hadharani??ngoja tuone.
I see nchi imefika pabaya sana biashara haramu zimehalalishwa na wafanya maamuzi ndio wapiga dili sasa inatosha.