Biashara ya madini ya dhahabu

Biashara ya madini ya dhahabu

Kuhudumia unaweza hudumia then ikala kwako...! mie nanunua dhahabu za mwalo wa kwangu..means mteja anakuja anasaga kwangu akichenjua nanunua mm dhahabu..ss kuna faulo za kufa mtu...anakuja kota mwingine anamuuliza huuu unamiuzia sh ngap?anamwambia 72000/=anamwabia mie nanunua 74[emoji23][emoji23]...!hao wanaonunua 74 wamechezea sana mizan zao..wajuvi wanakataa...!
Ukijitoa ukahudumia duara kadhaa uwezekano wa duara moja kurudisha gharama ni mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] kila kitu ni uzoefu asee..nilishawah jaribu kuiprocess mifuko yangu mwenyewe kilichotokea sikurudia tena[emoji23][emoji23] hua naishia kuiuza mifuko tu basi.
 
Hàqhahaha maduaea yakitema.huwa mna mbwembqe balaa..mie nadhamin 1...
 
Ukijitoa ukahudumia duara kadhaa uwezekano wa duara moja kurudisha gharama ni mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] kila kitu ni uzoefu asee..nilishawah jaribu kuiprocess mifuko yangu mwenyewe kilichotokea sikurudia tena[emoji23][emoji23] hua naishia kuiuza mifuko tu basi.
Mkuu kuhudumia duara, unahudumia vitu vipi na vipi kwa wachimbaji? Chakula ama
 
😅😅 ww tutashikana mikono...sema huki roho ngumu inakupasa..nilipoteza 2m july hii niliugua😁😁..am ok nw
Ningeongezea 3 apo dala dala langu ambalo limekwama garage lingetoka. Na kuanza route as previous.

Hope sasa upo zaidi ya makini Dada ake.
 
Tafuta mzoefu wa biashara hii, kisha nunua scale og za england au japan au german, kama unaanza usiweke pesa kwanza kajifunze kwa wazoefu ujue hata misamiamiti kama fonka, kota, karasha, mwalo, glory za karasha, ka azam na kadhalika
 
Uhakikishe hauna huruma na binadamu mwingine, wanaoosha kwenye mwalo wa mtu mwingine wakimpiga wewe nunua songa mbele
 
Ujue pia huko unakonunua hiyo dhahabu ina asilimia ngapi?
 
Maeneo yenye dhahabu Tanzania ni mikoa ya Mwanza, shinyanga hasa kahama huko utazikuta mwime na nyangarata, utaenda ukanda wa masumbwe hadi unafika runzewe kote kuna machimbo, ukitoka hapo utaigusa Tabora maeneo ya Nzega, uende hadi kitunda kupitia sikonge halafu uje utoboe Chunya mkoa wa Songwe zamani Mbeya
 
Ukienda songea utakuta machimbo madogo kijiji cha kitanda, Wilaya ya namtumbo kule kuna maeneo yanaitwa ndembezi kama sijasahau
 
Jifunze pia kuichezea ile scale, halafu ununue nitric acid ukiuziwa mbichi unaimwagia kwanza kama ni feki ina Sambaa, hakikisha unayafahamu majiko ya siri siri ya kuchoma dhahabu na uzifahamu pia identified illusion,

illusion=== ELUTION
 
Maeneo yenye dhahabu Tanzania ni mikoa ya Mwanza, shinyanga hasa kahama huko utazikuta mwime na nyangarata, utaenda ukanda wa masumbwe hadi unafika runzewe kote kuna machimbo, ukitoka hapo utaigusa Tabora maeneo ya Nzega, uende hadi kitunda kupitia sikonge halafu uje utoboe Chunya mkoa wa Songwe zamani Mbeya

Duuuuu....kote huko umepita?
 
Dhahabu Huwezi Jifunza Mtandaoni Njoo Huku Kahama Kakola Ujifunze, Wakati Naanza Niliwahi Kuuziwa Dhahabu Ambayo Katikati Ina Golori Y Baiskeli, Hii Kitu Sisahau Ila Nilijifunza Pia Nishapoteza Pesa Nyingi Sana Kwenye Kununua Mifuko Mihaloni Ila Sasa Hiv Nadeal na Karasha Zangu Nasubir Kwenda Plant Mambo Ya Kununua Nimesimama Kwanza[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom