Habari wana JF
Mwenzenu nna kitu leo natamani ku share na nyie wakuu mwenye mwanga au wazo juu ya hili nigependa kupata wazo ama ushauri.
Mi natamani sana sana na ni ndoto yangu kubwa sana kufanya biashara ya madini hasa ya dhahabu naipenda sana hii biashara.
Sasa challenge nilokuwa nayo ni sina uelewa hasa wa wanaofanya hiyo bishara means ma digala huwa wanafanyaje fanyaje kupata dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo? na pia mtaji wangu naweza pata 30m sasa je naweza anza na nianzie wapi na wapi nipate uzoefu au kujifunza!
Natanguliza shukrani wakuu mwenye wazo ama ushauri naomba