Biashara ya madini

Biashara ya madini

CL.BOY

New Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
1
Reaction score
1
Habari wana JF

Mwenzenu nna kitu leo natamani ku share na nyie wakuu mwenye mwanga au wazo juu ya hili nigependa kupata wazo ama ushauri.

Mi natamani sana sana na ni ndoto yangu kubwa sana kufanya biashara ya madini hasa ya dhahabu naipenda sana hii biashara.

Sasa challenge nilokuwa nayo ni sina uelewa hasa wa wanaofanya hiyo bishara means ma digala huwa wanafanyaje fanyaje kupata dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo? na pia mtaji wangu naweza pata 30m sasa je naweza anza na nianzie wapi na wapi nipate uzoefu au kujifunza!

Natanguliza shukrani wakuu mwenye wazo ama ushauri naomba
 
Biashara ya mkaa, biashara ya madini kaa mbali nazo kama huna asili nazo.
 
Habari wana JF

Mwenzenu nna kitu leo natamani ku share na nyie wakuu mwenye mwanga au wazo juu ya hili nigependa kupata wazo ama ushauri.

Mi natamani sana sana na ni ndoto yangu kubwa sana kufanya biashara ya madini hasa ya dhahabu naipenda sana hii biashara.

Sasa challenge nilokuwa nayo ni sina uelewa hasa wa wanaofanya hiyo bishara means ma digala huwa wanafanyaje fanyaje kupata dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo? na pia mtaji wangu naweza pata 30m sasa je naweza anza na nianzie wapi na wapi nipate uzoefu au kujifunza!

Natanguliza shukrani wakuu mwenye wazo ama ushauri naomba
nenda maeneo ya migodini, (Chunya, Geita n.k)

tenga kiasi fulani cha pesa kwa ajili ya kujifunza biashara (tuiton fee)

Mengine utayajulia huko huko on the ground, ila usikurupuke, jifunze sana uelewe kila kitu kwenye dhahabu kabla ya kuweka pesa zako zote huko.
 
Hi! Guys
Kuna task nimepewa, naomba kuuliza kuhusiana na vifaa vya uchimbaji wa dhahabu.
1.Cyclone ni nini nainafanya kazi gani migodini?
2. Air compressor ya piston 3 na 4 zina uwezo wa kutoa upepo wa bar ngapi kila moja?
3. Ball mill ya tani 3 kwa saa ni bora kuagiza za kichina au kuchonga sido?
4. Pia blower ya 35kw ni bora kuagiza au kuchonga sido?
 
Back
Top Bottom