Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema ukweli supermarket huwa ninanunua mahitajiElungata uko sahihi ukijaribu kuangalia utamaduni wa shoping malls na super& minmarkets kwa sisi tanzania kiukweli bado sana wenzetu kenya na uganda hadi kijijini wanajua minmarket inatakiwa sisi tukiona hivo vitu tunajua huko bei ziko juu za bidhaa,
utakuta kwa Dar shopping ni buguruni na tandale na kkoo.
kwa mwanza ni kujazana igoma na buhongwa.
kwa kigoma ni nazareti na mwanga
yaani cjui tukoje.
Changamoto ni umeme inabidi niwe na generatorukianzisha hiyo utapiga hela sana.
Kwa kuanzia hapo utauza,pia tafuta vijana wawili watanashati,na waongeaji wazuri kwa ajili ya marketing,mdada na mkakaNiliuliza wanachuo wa UDSM kama kumi hivi na waliniambia nitakuwa nimewasaidia sana na watawaarifu wenzao.
Shukran mkuuKwa kuanzia hapo utauza,pia tafuta vijana wawili watanashati,na waongeaji wazuri kwa ajili ya marketing,mdada na miaka.
Mdada a target mabacherol wa kiume na miaka atawatarget wamama majumbani na sehemu zingine,
Nna uhakika wamama wanapenda kununua maharage yanayoiva faster ili kusave matumizi ya mkaa ama gas,
Kwa hiyo vijana wako wakiuza wazo vizuri,unaweza kupickup,
Muhimu andaa sample chache za kugawa kwa wamama kama testrun,
Nunua ile Mashine ya vacuum sealer,unapack mwenye plasticbags,then ukiseal,maharage yatakaa miezi 6 bila kuharibika ndani ya Friji ya kawaida tu,sio lazima iwe on fulltimeKusema ukweli supermarket huwa ninanunua mahitaji
Changamoto ni umeme inabidi niwe na generator
Ndyo na hujulikna kma soya ,kma sikosei kyela ymejaa teleNdiyo yale ya Mbeya?
Kwa tani mia unauza how much dearmaharage yanayouza sana soko la congo ni kitenge au mix, na maharage ya njano yanaitwa kigoma.
Zanzibar ,tanga, mombasa, moroco ni maharage fulani yanaitwa rose coco ndio maarufu,
halafu kuna njano ndefu ya bukoba haya yanaiva haraka nayo hupendwa pia.
nipe dili niwe supplier wako wa maharage lakini uanzie tani 100 kupanda juu..
unahitaji aina ipi ya maharage?Kwa tani mia unauza how much dear
Nipo serious sema ndonatka kuanza cyo mzoefu na hyo bisnes ,je gunia n sh ngapi na n sawa n kilo ngpi y njano?nataka nianze japo kW gunia mojaunahitaji aina ipi ya maharage?
njano tani 100 ni milioni mia moja na hamsini hapo kila kilo ni wastani wa 1500 kwa yale kitenge ni wastani wa milioni 70 kwa tani 100 yani wastani wa kila kilo moja shilingi 700 mzigo utaupata bila kutoa hata shilingi mia yako na ukipokea mzigo ndio ufanye malipo lakini uwe serious.
Purchasing power mkuu iko chini sana!Elungata uko sahihi ukijaribu kuangalia utamaduni wa shoping malls na super& minmarkets kwa sisi tanzania kiukweli bado sana wenzetu kenya na uganda hadi kijijini wanajua minmarket inatakiwa sisi tukiona hivo vitu tunajua huko bei ziko juu za bidhaa,
utakuta kwa Dar shopping ni buguruni na tandale na kkoo.
kwa mwanza ni kujazana igoma na buhongwa.
kwa kigoma ni nazareti na mwanga
yaani cjui tukoje.
Naona wivu umekujaa debe!Acha kupenda slope! Huwez fikiria idea nyingine ata ya kuanzisha huduma ya kuzuia mbwa koko kuzagaa mitaani !😡😡
NjanoKutokana na maharage kuwa chakula na mboga pendwa pamoja na mapishi yake ya kuchukua muda mrefu kuiva na pia kutumia nishati nyingi. Biashara ya kuuza maharage yakiyochemshwa na kugandishwa katika ujazo wa 1/4, 1/2 na kilo moja.
Changamoto kubwa ni kuwa aina ipo ya maharage hupendwa zaidi. Kuna Serian, Meupe, ya njano, ..
Ninaomba uandike maharage unayopenda kula utakuwa umenisaidoa sana katika itafiti wangu.
chemsha maji tia kwenye chupa ya chai na maharage yako, kesho yapike yataiva baada ya robo saa.Kutokana na maharage kuwa chakula na mboga pendwa pamoja na mapishi yake ya kuchukua muda mrefu kuiva na pia kutumia nishati nyingi. Biashara ya kuuza maharage yakiyochemshwa na kugandishwa katika ujazo wa 1/4, 1/2 na kilo moja.
Changamoto kubwa ni kuwa aina ipo ya maharage hupendwa zaidi. Kuna Serian, Meupe, ya njano, ..
Ninaomba uandike maharage unayopenda kula utakuwa umenisaidoa sana katika itafiti wangu.