Njano ndo mpango mzimaKutokana na maharage kuwa chakula na mboga pendwa pamoja na mapishi yake ya kuchukua muda mrefu kuiva na pia kutumia nishati nyingi. Biashara ya kuuza maharage yakiyochemshwa na kugandishwa katika ujazo wa 1/4, 1/2 na kilo moja.
Changamoto kubwa ni kuwa aina ipo ya maharage hupendwa zaidi. Kuna Serian, Meupe, ya njano, ..
Ninaomba uandike maharage unayopenda kula utakuwa umenisaidoa sana katika itafiti wangu.