Biashara ya maharage frozen

Biashara ya maharage frozen

Kutokana na maharage kuwa chakula na mboga pendwa pamoja na mapishi yake ya kuchukua muda mrefu kuiva na pia kutumia nishati nyingi. Biashara ya kuuza maharage yakiyochemshwa na kugandishwa katika ujazo wa 1/4, 1/2 na kilo moja.

Changamoto kubwa ni kuwa aina ipo ya maharage hupendwa zaidi. Kuna Serian, Meupe, ya njano, ..

Ninaomba uandike maharage unayopenda kula utakuwa umenisaidoa sana katika itafiti wangu.
Njano ndo mpango mzima
 
kuna yale mekundu sijui maroon ni matamu hadi mchuzi wake.
 
Back
Top Bottom