Biashara ya maharage frozen

Kusema ukweli supermarket huwa ninanunua mahitaji
ukianzisha hiyo utapiga hela sana.
Changamoto ni umeme inabidi niwe na generator
 
Niliuliza wanachuo wa UDSM kama kumi hivi na waliniambia nitakuwa nimewasaidia sana na watawaarifu wenzao.
Kwa kuanzia hapo utauza,pia tafuta vijana wawili watanashati,na waongeaji wazuri kwa ajili ya marketing,mdada na mkaka
Mdada a target mabacherol wa kiume na mkaka awatarget wamama majumbani na sehemu zingine,
Nna uhakika wamama wanapenda kununua maharage yanayoiva faster ili kusave matumizi ya mkaa ama gas,
Kwa hiyo vijana wako wakiuza wazo vizuri,unaweza kupickup,
Muhimu andaa sample chache za kugawa kwa wamama kama testrun,
 
Shukran mkuu
 
Kusema ukweli supermarket huwa ninanunua mahitaji

Changamoto ni umeme inabidi niwe na generator
Nunua ile Mashine ya vacuum sealer,unapack mwenye plasticbags,then ukiseal,maharage yatakaa miezi 6 bila kuharibika ndani ya Friji ya kawaida tu,sio lazima iwe on fulltime
 
Nunua ile Mashine ya vacuum sealer,unapack mwenye plasticbags,then ukiseal,maharage yatakaa miezi 6 bila kuharibika ndani ya Friji ya kawaida tu,sio lazima iwe on fulltime
Asante sana mkuu
 
Kwa tani mia unauza how much dear
 
Kuna maharage rangi khaki
Yanaitwa karanga
Ni matamu zaidi kuliko yote
 
Kwa tani mia unauza how much dear
unahitaji aina ipi ya maharage?
njano tani 100 ni milioni mia moja na hamsini hapo kila kilo ni wastani wa 1500 kwa yale kitenge ni wastani wa milioni 70 kwa tani 100 yani wastani wa kila kilo moja shilingi 700 mzigo utaupata bila kutoa hata shilingi mia yako na ukipokea mzigo ndio ufanye malipo lakini uwe serious.
 
Nipo serious sema ndonatka kuanza cyo mzoefu na hyo bisnes ,je gunia n sh ngapi na n sawa n kilo ngpi y njano?nataka nianze japo kW gunia moja
 
Mbona Uswazi yapo ila hawaweki kwenye friza.
Utayakuta jioni ukitoka kazini
 
Purchasing power mkuu iko chini sana!
 
Mi nataka kukuongezea idea tu dadaangu ukishaona soko la hayo maharage frozen limekaa sasa kidogo kidogo hamia kwenye kutengeneza complex mbogas namaanisha zile ambazo zinachukua muda kuziandaa mfano. Kisamvu uwe unatwanga kabisa halaf una pack either ukiuze kikiwa kimepikwa (kuchemshwa) au bado kibichi unatwanga na kitunguu saumu. Unaweza ukajiongeza hata cabbage uka kata kata vizuri kabisa na carrot na hoho kikubwa uzingatie usafi tena mfano hilo cabbage wauza chips utakua umewarahisishia kazi sana!
 
soya ya nazi , wali wa nazi, dah, utam adi kichogoni
 
Njano
 
chemsha maji tia kwenye chupa ya chai na maharage yako, kesho yapike yataiva baada ya robo saa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…