Biashara ya maharage

Biashara ya maharage

beek

Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
99
Reaction score
137
Habari wapendwa wa mungu! Mimi nikijana niko Bariadi nataka kufanya biashara ya maharage sasa waungwana naomba kufahamishwa palipo na maharage kwa wingi na yanauzwaje?
 
Maeneo ya karagwe, ngara Kuna maharage mengi jaribu kufatilia huko,,,
 
Ndoo kubwa lita 20 boss ndo huitwa plastiki[emoji16][emoji16], ile ya lita kumi huitwa sambumayi, mbeya tuna majina yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha. Ahsante kwa kunielimisha!
 
Vp mikoa kama:singida,dodoma hawalimi hili zao
Cjui, watakuja wenyewe kutoa ushahidi kama wanalima au la. Ila maharage pia hulimwa kwa wingi mkoa wa rukwa. Ebu jaribu kufuatilia bei zake, ila yakakuwa yanacheza 28-34 kwa lita 20 maharage ya njano(kigoma)
 
Ahsante mkuu
 
Habari wapendwa wa mungu! Mimi nikijana niko Bariadi nataka kufanya biashara ya maharage sasa waungwana naomba kufahamishwa palipo na maharage kwa wingi na yanauzwaje?
Njombe
 
Njoo fasta wanavuna huku gunia laki moja na 20
 
Nliwahi kusikia Karagwe na Songea/Ruvuma hulima pia maharage kwa wingi. Jaribu kufuatilia huko pia ndugu
 
Habari wapendwa wa mungu! Mimi nikijana niko Bariadi nataka kufanya biashara ya maharage sasa waungwana naomba kufahamishwa palipo na maharage kwa wingi na yanauzwaje?
Manyara wilaya ya Hanang' debe la kilo 20 wanauza elfu 30 - 35 ni yale ya njano!
 
Back
Top Bottom