Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeneo ya karagwe, ngara Kuna maharage mengi jaribu kufatilia huko,,,Habari wapendwa wa mungu! Mimi nikijana niko Bariadi nataka kufanya biashara ya maharage sasa waungwana naomba kufahamishwa palipo na maharage kwa wingi na yanauzwaje?
Haki we lazima n mnyiha🤣🤣🤣Mbeya sh28-30 elf kwa plastiki
Ndoo kubwa lita 20 boss ndo huitwa plastiki😁😁, ile ya lita kumi huitwa sambumayi, mbeya tuna majina yetu🤣🤣🤣Plastiki ndo nn mkuu hebu jaribu kufafanua!
Ukija Mbozi hayo majina ndo mara nyinyi hutumika😁😁😁Hahaha. Ahsante kwa kunielimisha!
Cjui, watakuja wenyewe kutoa ushahidi kama wanalima au la. Ila maharage pia hulimwa kwa wingi mkoa wa rukwa. Ebu jaribu kufuatilia bei zake, ila yakakuwa yanacheza 28-34 kwa lita 20 maharage ya njano(kigoma)Vp mikoa kama:singida,dodoma hawalimi hili zao
NjombeHabari wapendwa wa mungu! Mimi nikijana niko Bariadi nataka kufanya biashara ya maharage sasa waungwana naomba kufahamishwa palipo na maharage kwa wingi na yanauzwaje?
Wapi huko mkuuNjoo fasta wanavuna huku gunia laki moja na 20
Manyara wilaya ya Hanang' debe la kilo 20 wanauza elfu 30 - 35 ni yale ya njano!Habari wapendwa wa mungu! Mimi nikijana niko Bariadi nataka kufanya biashara ya maharage sasa waungwana naomba kufahamishwa palipo na maharage kwa wingi na yanauzwaje?
Mkuu, maharage aina ipi? Soya njano wanauzaje kwa kilo?Mbeya sh28-30 elf kwa plastiki