Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Mwalimu WA Hesabu nimerudi
Mahesabu ya kupata milion 24 haya hapa
Mahesabu ya kupata milion 24 haya hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli bossThubutu.!
kumbe na tikiti inalipa eeFaida haitofautiani sana na matikiti kumbe
Mbona wanauza bwanaKote upo sahihi,,Shida inaaza hapo kwenye kuuza mahindi mia Moja Kwa cku,.
Tumbo la niniHongera mwenzetu hauna tumbo
We mjomba wewe Acha fujoNakubali mahindi yana faida ila hayafikii biashara ya nail cutter
Wamasai wameacha ng'ombe za mamilioni ya pesa huko porini wapo town wanauza nail cutter na sigara unaweza jionea mwenyewe kwa namna gani hii biashara inalipa.
Mbona hapo tangibovu wanauza sanaNaona hayo maindi yametembea kutoka shamba mpaka mjini kwa miguu anyway kuuza mahindi 100 mjini labda atokee nabii wa upako wa mahindi
mahindi 100 kwa siku?Mbona hapo tangibovu wanauza sana
Ndio bossmahindi 100 kwa siku?
Unawalipa Kwa makadirio