Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
WoyooHuwaga wanaulizaga anko una buku ya karibu hapo, mi huwa nawaambia nina buku ya mbali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WoyooHuwaga wanaulizaga anko una buku ya karibu hapo, mi huwa nawaambia nina buku ya mbali.
Yanatupa maishaMakaratasi ya hesabu 😅😅😅
Nakubali mahindi yana faida ila hayafikii biashara ya nail cutter
Wamasai wameacha ng'ombe za mamilioni ya pesa huko porini wapo town wanauza nail cutter na sigara unaweza jionea mwenyewe kwa namna gani hii biashara inalipa.
Sawa"Yaniingizia tsh milion 24 kwa mwaka" hii ni past tense, imeshatokea au??????