Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #21
Nahonga nini sasaHongera sana new millionaire in town.
Nakushauri uwe una honga kidogo upate na utelezi mzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahonga nini sasaHongera sana new millionaire in town.
Nakushauri uwe una honga kidogo upate na utelezi mzuri.
Sasa Tajiri gan anapiga mzinga?Motivation speakers wote huwa ni matajiri ila ndio waongoza kupiga mizinga...
Sorry kumbe mwenyewe ndio mmiliki halali wa huo utelezi??Nahonga nini sasa
Sorry kumbe mwenyewe ndio mmiliki halali wa huo utelezi??
Any way unaweza kuhonga upate dushe lenye uhakika uliwe kwa raha zako.
Wasimamaji WA kuuza mahindi wako wap sasa
Wasimamaji WA kuuza mahindi wako wap sasa
Kutoka shambani muhindi unajileta wenyewe mjini? Muhindi unajichoma bila mkaa?
Unapiga hesabu za Faida bila matumizi?Tumbo la nini
Matumizi si hayop ametoa hapo au?Unapiga hesabu za Faida bila matumizi?
mimi ni keAnyway tuachane na hizi hesabu maana ni ngumu, nje ya mada Money Penny wewe ni ke nirushe ndoano?
Sent using Jamii Forums mobile app
hesabu ishatolewa mkaa na usafiri na chakula cha mchanaKutoka shambani muhindi unajileta wenyewe mjini? Muhindi unajichoma bila mkaa?
Kazi ya pesa ni nini zaidi ya kula,kumwagilia moyo,kuhonga,kujenga, nk.Bro mahindi ya kuchoma na kuhonga wap na wap sa
uko twisted naona!Kazi ya pesa ni nini zaidi ya kula,kumwagilia moyo,kuhonga,kujenga, nk.
Kuhonga ni hitaji la msingi kwa mujibu wa binadamu aliyekamilika hata kwa mujibu wa katiba yetu pendekezwa.
kuna mtu namjua anauza mahindi 200 kwa siku anaishi bagamoyo anakuja nayo na pikipiki yeye ana deal na minada ya hapa Darmahindi 100 kwa siku?
ni bilionea aukuna mtu namjua anauza mahindi 200 kwa siku anaishi bagamoyo anakuja nayo na pikipiki yeye ana deal na minada ya hapa Dar
Hayo mahesabu yk ya mahindi 100 kila siku unawauzia watu au ngedere?
kariakoo wanakulaHayo mahesabu yk ya mahindi 100 kila siku unawauzia watu au ngedere?
Mbona bongo kuna matajiri wengi? Inawezekana wauza mahindi nao matajiri. Mpaka wasanii uchwara na machawa ni matajiri mjini bongo