Biashara ya mahindi ya kuchoma yaniingizia tsh milion 24 kwa mwaka

Nakubali mahindi yana faida ila hayafikii biashara ya nail cutter

Wamasai wameacha ng'ombe za mamilioni ya pesa huko porini wapo town wanauza nail cutter na sigara unaweza jionea mwenyewe kwa namna gani hii biashara inalipa.
We mjomba wewe Acha fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…