Biashara ya mahindi ya kuchoma yaniingizia tsh milion 24 kwa mwaka

Mbona bongo kuna matajiri wengi? Inawezekana wauza mahindi nao matajiri. Mpaka wasanii uchwara na machawa ni matajiri mjini bongo
Ni ma bilionea au trilionea au milionea?!
 
Labda kuuza wahindi 100 kwa siku maana upatikanaji wake ni wa kila siku tofauti na mahindi kilimo chake ni cha msimu na kwa sabubu hiyo msimu ukiisha upatikanaji wake unakuwa wa shida na gharama zake zinaongezeka.
 
Hata kwako ukilima mahindi yanaota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…