Biashara ya maji ya chupa

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Wakuu kwema , natumaini mpo pouw , huku tukiendelea na msiba kdog mdogo.... Nimeona fursa sehemu ya kuweka depot Kwa ajili ya kuuza maji haya ya chupa Kwa bei ya jumla ..... Kwa wale wazoefu Kwa hapa dar maji cotton Kwa bei ya jumla kwenye gari unayanunua Kwa sh ngap unatakiwa uuze cotton sh ngap? Nazungumzia maji ya kampuni kama Uhai , Kilimanjaro , Afya , masafi , Hill water n.k

Nawasilisha wakuu
 
Katon moja ya maji ya uhai faida ni 200 kwa Bei ya jumla.

Ngoja wengine Waje.
 
Upo sahihi, lita moja tunanunua kwa 2300 then tunauza 2500,hii ni kwa almost kampuni zote except kilimanjaro
Mkuu jitahidi upate connection, mama yangu huwa ananunua maji ya uhai litre 2000tsh kutoka kiwandani kabisa, ila wanataka mzigo uanzie maji 200 na kuendelea.
Sio litre tu hata ya nusu, robo, na 6litre bei inakua imepungua.
 
Wanakuletea mpak ulipo ndan ya DSM ama unafata kiwandani na Gari lako , ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba ashindwe yeye tu mzee wa Cotton
Kwa uandishi huo bado hajawa na sifa ya kuwa danga. Ngoja kwanza auze maji labda lugha itanyooka
 
Wanakuletea mpak ulipo ndan ya DSM ama unafata kiwandani na Gari lako , ?
Wanakuletea mpaka dukani kwako mkuu, ni ndani ya dsm nafikiri, sijafahamu kama wanatoka na nje ya mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…