Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Wakuu kwema , natumaini mpo pouw , huku tukiendelea na msiba kdog mdogo.... Nimeona fursa sehemu ya kuweka depot Kwa ajili ya kuuza maji haya ya chupa Kwa bei ya jumla ..... Kwa wale wazoefu Kwa hapa dar maji cotton Kwa bei ya jumla kwenye gari unayanunua Kwa sh ngap unatakiwa uuze cotton sh ngap? Nazungumzia maji ya kampuni kama Uhai , Kilimanjaro , Afya , masafi , Hill water n.k
Nawasilisha wakuu
Nawasilisha wakuu