richald j.donald
Member
- Jun 3, 2013
- 14
- 9
Kuyapata ni ishu sana hivi hivi bila kafara ya kondoo alienona ni ngumu.Jamani naona watu kibao wanaparangana kutafuta haya maji ya mwamba. Sasa naomba kuuliza, pia mmoja ama kama kunamtu anaconnection ya uhakika ya soko la hii kitu naomba tutafutane.
Kama wewe nitapel usihangaike, nahitaji watu wa ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hizi mambo utatoa ndugu kafara bure na kupoteza mda plus garama nyingi, hamna kitu rahis dunianiJamani naona watu kibao wanaparangana kutafuta haya maji ya mwamba. Sasa naomba kuuliza, pia mmoja ama kama kunamtu anaconnection ya uhakika ya soko la hii kitu naomba tutafutane.
Kama wewe nitapel usihangaike, nahitaji watu wa ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuyapata ni ishu sana hivi hivi bila kafara ya kondoo alienona ni ngumu.
Mara ya mwisho kuyaona kuna jamaa kama 4 hivi walikuja hawajui kiswahili ila mwenyeji wao mmoja ndio alikuwa nao anaongea kiswahili walikuwa nayo kwa kweli wakikuwa kika mmoja ana kama nusu lita kwenye kopo kila mtu yake walikuwa wameyasiliba kwa kuyafunika kwenye mikoba yenye nguo zao haki ya mungu kuyafunua ile harufu sijawahi sikia kitu chenye harufu ile tangu napata akili.kilicho nishangaza yale maji jamaa (mwenyeji wao)aliyapima mbele yangu kwa kuingiza( tester)ile ya kupimia umeme na akasema sio yenyewe hayo maji maana ingekuwa ni yale yenyewe eti ile tester ingewaka.
Hapo ndipo nilipopatwa na mshtuko kidogo eti kuna ukweli wowote?
Tujaribu kuingia YouTube tuandike hii kitu tione kweli haipo nimejaribu pia nikaona kimiminika fulan cheusi dizain kama oil mpya hivi wakasema no black mercury pia haipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanatumiwa sana kwenye utapeli ....ingawa mercury yenyewe n biashara y uhakika kwa migodiniMara ya kwanza kuisikia hii liquid mercury kuna jamaa alinielezea nikacheka sana lakini alibadilika na kukasirika na baadae akaanza kuniambia kuwa kichupa kidogo tu kutoka kwenye miamba inakaribia 1b
Nikamuambia katafute ukiwa tajiri tuonane
8 years later nikamuona nikamkumbusha Vipi maji ya mercury?
Akaniambia sitaki hata kusikia tena lakini alikataa kabisa kuniambia yaliyomsibu
Mkuu jaribu kuisoma kwanza hii liquid mercury inapatikanaje
Ni hilo tu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Yanatumiwa sana kwenye utapeli ....ingawa mercury yenyewe n biashara y uhakika kwa migodini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nouma saaaaanaaaaUzi wa matapeli huu kuna mtu atapigwa kipigo cha mbwa koko alie kikwao
Sent using Jamii Forums mobile app