Biashara ya maji ya Mecury

Biashara ya maji ya Mecury

Mara ya kwanza kuisikia hii liquid mercury kuna jamaa alinielezea nikacheka sana lakini alibadilika na kukasirika na baadae akaanza kuniambia kuwa kichupa kidogo tu kutoka kwenye miamba inakaribia 1b.

Nikamuambia katafute ukiwa tajiri tuonane 8 years later nikamuona nikamkumbusha Vipi maji ya mercury?

Akaniambia sitaki hata kusikia tena lakini alikataa kabisa kuniambia yaliyomsibu
Mkuu jaribu kuisoma kwanza hii liquid mercury inapatikanaje
Ni hilo tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mwana kuyataka mwana kuyapata..Ngoja waje,,Utakaribishwa mpaka Dm
 
Jamani naona watu kibao wanaparangana kutafuta haya maji ya mwamba. Sasa naomba kuuliza, pia mmoja ama kama kunamtu anaconnection ya uhakika ya soko la hii kitu naomba tutafutane.

Kama wewe nitapel usihangaike, nahitaji watu wa ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuyapata ni ishu sana hivi hivi bila kafara ya kondoo alienona ni ngumu.
Mara ya mwisho kuyaona kuna jamaa kama 4 hivi walikuja hawajui kiswahili ila mwenyeji wao mmoja ndio alikuwa nao anaongea kiswahili walikuwa nayo kwa kweli wakikuwa kika mmoja ana kama nusu lita kwenye kopo kila mtu yake walikuwa wameyasiliba kwa kuyafunika kwenye mikoba yenye nguo zao haki ya mungu kuyafunua ile harufu sijawahi sikia kitu chenye harufu ile tangu napata akili.kilicho nishangaza yale maji jamaa (mwenyeji wao)aliyapima mbele yangu kwa kuingiza( tester)ile ya kupimia umeme na akasema sio yenyewe hayo maji maana ingekuwa ni yale yenyewe eti ile tester ingewaka.
Hapo ndipo nilipopatwa na mshtuko kidogo eti kuna ukweli wowote?
 
daaah hii biashara ni kama rupia asee...utaznguka na kumaliza pesa zako mkuu lkn hutoambulia chochote. baba yangu mdogo alkuwa na maji ya mekyuri, alivyoktan na tajir sasa wakayapima aksema yame expire inaonkan yaliguswa kwa mkono... alichok sana baada ya kuznguk miaka kibao.hakuna dili hapa mkuu ..ni biashara ya usmbufu tu na kumaliza pesa zako.

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
Nasema hii mambo wadau huwa IPO live kabisa naamini mm nimewah yaona na kuyapata sehem ila sema aliyekuwa nayo ni bibi mmoja akasema yeye aliomba ya dawa hivyo hatoi sasa imajin haya yanamazingira gan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naona watu kibao wanaparangana kutafuta haya maji ya mwamba. Sasa naomba kuuliza, pia mmoja ama kama kunamtu anaconnection ya uhakika ya soko la hii kitu naomba tutafutane.

Kama wewe nitapel usihangaike, nahitaji watu wa ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hizi mambo utatoa ndugu kafara bure na kupoteza mda plus garama nyingi, hamna kitu rahis duniani
 
Kuyapata ni ishu sana hivi hivi bila kafara ya kondoo alienona ni ngumu.
Mara ya mwisho kuyaona kuna jamaa kama 4 hivi walikuja hawajui kiswahili ila mwenyeji wao mmoja ndio alikuwa nao anaongea kiswahili walikuwa nayo kwa kweli wakikuwa kika mmoja ana kama nusu lita kwenye kopo kila mtu yake walikuwa wameyasiliba kwa kuyafunika kwenye mikoba yenye nguo zao haki ya mungu kuyafunua ile harufu sijawahi sikia kitu chenye harufu ile tangu napata akili.kilicho nishangaza yale maji jamaa (mwenyeji wao)aliyapima mbele yangu kwa kuingiza( tester)ile ya kupimia umeme na akasema sio yenyewe hayo maji maana ingekuwa ni yale yenyewe eti ile tester ingewaka.
Hapo ndipo nilipopatwa na mshtuko kidogo eti kuna ukweli wowote?

Mkuu kuna liquid mercury ambayo Ina rangi ya silver
Hiyo inatumika hata kwenye kutengeneza thermometers na bei yake ni ndogo sana
Ila hii sasa ambayo watu wanasema kuipata eti mpaka makafara na wengi wanadanganywa ni RED MERCURY ambayo haipo kabisa duniani FACT
Hii habari ilianza 1979
Na Kg moja walisema ni $300,000 ukiipata na wengi walipigwa miaka hiyo
Sasa Mkuu leo 2020 bado watu wanapigwa

Red imetokana na Soviet Union wakati huo
Na wanoko wakasema inatumika kutengeneza nuclear [emoji3518]
Jisomee kidogo Red liquid mercury utajua mengi
Maana dau waliambiwa watu limepanda na kufika $1.8m kwa kilogram
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tujaribu kuingia YouTube tuandike hii kitu tione kweli haipo nimejaribu pia nikaona kimiminika fulan cheusi dizain kama oil mpya hivi wakasema no black mercury pia haipo

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanayotafuta watu na ambayo ni hoax ni red mercury na ndio wanasema ukipata unauza kilo unanunua nyumba za mji mzima [emoji28]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mara ya kwanza kuisikia hii liquid mercury kuna jamaa alinielezea nikacheka sana lakini alibadilika na kukasirika na baadae akaanza kuniambia kuwa kichupa kidogo tu kutoka kwenye miamba inakaribia 1b
Nikamuambia katafute ukiwa tajiri tuonane
8 years later nikamuona nikamkumbusha Vipi maji ya mercury?
Akaniambia sitaki hata kusikia tena lakini alikataa kabisa kuniambia yaliyomsibu
Mkuu jaribu kuisoma kwanza hii liquid mercury inapatikanaje
Ni hilo tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
Yanatumiwa sana kwenye utapeli ....ingawa mercury yenyewe n biashara y uhakika kwa migodini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanatumiwa sana kwenye utapeli ....ingawa mercury yenyewe n biashara y uhakika kwa migodini

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli kabisa
Ila hii ya kitapeli wameitolea Red mercury kwamba inatiririka kutoka kwenye miamba na dau lake ni $1.8m kwa kg
Kuna watu wanapigwa mpaka anajiuliza hivi nimerogwa
Ila mwanzo huwa wabishi ukiwaambiwa ni utapeli
Mpaka aingie na kuibiwa na ushirikina juu, akimaliziwa hela ndio akili aliyoisahau anaanza kuitumia[emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom