NORBERT MOSHI
Member
- Aug 26, 2018
- 7
- 3
Habari wanandugu, leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup.
Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni namna gani unaweza ukamfanya mteja asiluke anapokuja ofisini.
Mimi ni photographer ninauzoefu wa kazi hii kwa muda usiopungu miaka 6 katika kufanya kwangu kazi nilikuja kujuwa jambo moja kuwa wateja wangu wengi ni wanawake na inapofikia wakati wa kufanya photoshoot analazimika kwenda saloon ili afanye makeup and then aje studio.
Hiyo ilinifanya niwaze kitu kinaitwa makeup & photo studio, ambapo unakuwa na studio ambayo ipo full inafanya makeup pia inapiga na picha na urembo mdogomdogo wa wadada kama kucha kope na rangi.
Hii biashara kwa apa Dar es Salam inakimbiza sana hapa mjini kutokana kwamba dada zetu sikuizi urembo, TikTok, Snapchat na Istagram ndio vitu wengi wanapendele akuwa navyo bize so iyo ni fursa kwetu.
Mimi nipo Ubungo natamani sana kufanya ili jambo ila nakosa saport tuu na wawekezaji katika hili
kama kuna mdau atavutiwa na hili na yupo tayali kuwekezaapa anicheki au kama kuna mtu ana watu wanaoweza kuwekeza umu anicheki tufanye jambo kubwa zaidi call 0785428534.