Biashara ya makeup and studio

Biashara ya makeup and studio

NORBERT MOSHI

Member
Joined
Aug 26, 2018
Posts
7
Reaction score
3
Habari wanandugu, leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup.

Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni namna gani unaweza ukamfanya mteja asiluke anapokuja ofisini.

Mimi ni photographer ninauzoefu wa kazi hii kwa muda usiopungu miaka 6 katika kufanya kwangu kazi nilikuja kujuwa jambo moja kuwa wateja wangu wengi ni wanawake na inapofikia wakati wa kufanya photoshoot analazimika kwenda saloon ili afanye makeup and then aje studio.

Hiyo ilinifanya niwaze kitu kinaitwa makeup & photo studio, ambapo unakuwa na studio ambayo ipo full inafanya makeup pia inapiga na picha na urembo mdogomdogo wa wadada kama kucha kope na rangi.

Hii biashara kwa apa Dar es Salam inakimbiza sana hapa mjini kutokana kwamba dada zetu sikuizi urembo, TikTok, Snapchat na Istagram ndio vitu wengi wanapendele akuwa navyo bize so iyo ni fursa kwetu.

Mimi nipo Ubungo natamani sana kufanya ili jambo ila nakosa saport tuu na wawekezaji katika hili
kama kuna mdau atavutiwa na hili na yupo tayali kuwekezaapa anicheki au kama kuna mtu ana watu wanaoweza kuwekeza umu anicheki tufanye jambo kubwa zaidi call 0785428534.
 
Habari wanandugu leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup.

Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni namna gani unaweza ukamfanya mteja asiluke anapokuja ofisini.

Mimi ni photographer ninauzoefu wa kazi hii kwa muda usiopungu miaka 6 katika kufanya kwangu kazi nilikuja kujuwa jambo moja kuwa wateja wangu wengi ni wanawake na inapofikia wakati wa kufanya photoshoot analazimika kwenda saloon ili afanye makeup and then aje studio.

Hiyo ilinifanya niwaze kitu kinaitwa makeup & photo studio
Ambapo unakuwa na studio ambayo ipo full inafanya makeup pia inapiga na picha na urembo mdogomdogo wa wadada kama kucha kope na rangi.

Hii biashara kwa apa dar es salam inakimbiza sana apa mjini kutokana kwamba dada zetu sikuizi urembo, tiktok, snapchat na istagram ndio vitu wengi wanapendele akuwa navyo bize so iyo ni fulsa kwetu.

Mimi nipo ubungo natamani sana kufanya ili jambo ila nakosa saport tuu na wawekezaji katika hili
Kama kuna mdau atavutiwa na hili na yupo tayali kuwekezaapa anicheki au kama kuna mtu ana watu wanaoweza kuwekeza umu anicheki tufanye jambo kubwa zaidi call 0785428534
Idea nzuri sana Mungu akutangulie upate mtu wa kukusupport kwenye wazo lako la biashara na kuwa biashara kubwa na tofauti sanaa.
 
Haya uje PM. Swala lako limeisha. Uje na maelezo ya mahitaji yako.
Karibu.
 
Kwa wastani mtaji unatakiwa shilingi ngapi kuwekeza kwa hilo wazo lako?
 
Kwa kuanzia ni kama 5000000 iyo ni pamoja na kulipia kodi ya flem na kukunua makeup box na vipodozi kwa kuanzia ila camera mm ninayo na baadhi ya vifaa vya studio
 
frem unataka iwe wapi? maeneo gani?
 
Habari wanandugu leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup.

Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni namna gani unaweza ukamfanya mteja asiluke anapokuja ofisini.

Mimi ni photographer ninauzoefu wa kazi hii kwa muda usiopungu miaka 6 katika kufanya kwangu kazi nilikuja kujuwa jambo moja kuwa wateja wangu wengi ni wanawake na inapofikia wakati wa kufanya photoshoot analazimika kwenda saloon ili afanye makeup and then aje studio.

Hiyo ilinifanya niwaze kitu kinaitwa makeup & photo studio
Ambapo unakuwa na studio ambayo ipo full inafanya makeup pia inapiga na picha na urembo mdogomdogo wa wadada kama kucha kope na rangi.

Hii biashara kwa apa dar es salam inakimbiza sana apa mjini kutokana kwamba dada zetu sikuizi urembo, tiktok, snapchat na istagram ndio vitu wengi wanapendele akuwa navyo bize so iyo ni fulsa kwetu.

Mimi nipo ubungo natamani sana kufanya ili jambo ila nakosa saport tuu na wawekezaji katika hili
Kama kuna mdau atavutiwa na hili na yupo tayali kuwekezaapa anicheki au kama kuna mtu ana watu wanaoweza kuwekeza umu anicheki tufanye jambo kubwa zaidi call 0785428534
kaka vipi mimi nimesoma nimeelewa mimi nilikua na wazo la kufunfungua duka la vifaa vya make up pekee unaweza kunisaidia namba yangu ni 065889950
 
Habari wanandugu leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup.

Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni namna gani unaweza ukamfanya mteja asiluke anapokuja ofisini.

Mimi ni photographer ninauzoefu wa kazi hii kwa muda usiopungu miaka 6 katika kufanya kwangu kazi nilikuja kujuwa jambo moja kuwa wateja wangu wengi ni wanawake na inapofikia wakati wa kufanya photoshoot analazimika kwenda saloon ili afanye makeup and then aje studio.

Hiyo ilinifanya niwaze kitu kinaitwa makeup & photo studio
Ambapo unakuwa na studio ambayo ipo full inafanya makeup pia inapiga na picha na urembo mdogomdogo wa wadada kama kucha kope na rangi.

Hii biashara kwa apa dar es salam inakimbiza sana apa mjini kutokana kwamba dada zetu sikuizi urembo, tiktok, snapchat na istagram ndio vitu wengi wanapendele akuwa navyo bize so iyo ni fulsa kwetu.

Mimi nipo ubungo natamani sana kufanya ili jambo ila nakosa saport tuu na wawekezaji katika hili
Kama kuna mdau atavutiwa na hili na yupo tayali kuwekezaapa anicheki au kama kuna mtu ana watu wanaoweza kuwekeza umu anicheki tufanye jambo kubwa zaidi call 0785428534
Njoo pm tujaribu kuyajenga
 
Back
Top Bottom