Biashara ya Mama Ntilie...

Biashara ya Mama Ntilie...

ismail hassan

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
696
Reaction score
1,629
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo Diploma, natarajia nikijiunga na Degree mwaka huu Mungu akijaalia ile pesa ya boom niiwekeze. Nataka nifanye kitu kimoja kama tittle inavyojieleza.

Natarajia kuwa kama na laki 7 hivi za mwanzo tofauti na boom. Nafkiria kuchkuwa frem nianzishe biashara hii lakini katika oparashion itakuwa ni tofauti kidogo na ilivyozoeleka.

Awali natarajia kukodisha frem kwa hiyo laki 7 na kununua vyombo kama, sahani kama 20, vibakuli20,vikombe 20,vijiko, sufuria kama 7 size tfaut,ndoo ya kunawia, viti na meza kama mbil, majiko mawil ya mkaa na moja la gas kwaajil ya vyakula vya haraka.pesa ilobaki nannua vyakula vya kuanzia. biashara yangu natarajia iwe kwa wateja wa kawaida tu yaani asbuh kuwe na supu, chai,maziwa,maandazi ,chapati,na baadhi ya vitafunwa vngine ambavyo nita out source ili kubalance mda. Mchana, natarajia kuwepo na ugali,wali,ndizi, na usiku hivyohivyo.

Najua muda utanibana sana nandoman nkasema hapo juu kuwa biashar yangu natarajia kuwa tofauti kidogo, hivyo natarajia kuweka mtu awe ananipa elf 10 kwa siku yeye atajilipa mwenyewe stak pesa kubwa mana nahofia nikitaka nimlipe mm biashara itakufa mapema kutokana na tamaa ya kunipiga nandoman sitak iwe hivyo, nataka ajismamie ahakikishe ananilipa elf 10 huku yeye akiingiza faida kubwa..kila sku napitia elf 10 yangu, yaani nakuwa kama mm ndo nmempa mtaji tu, kila kitu anafanya yeye, akitak aongeze wafanyakaz kama biashara imekuwa ni juu yake.

Natarajia nikikusanya hiyo pesa nisiitumie nifanye hivyo tena kwa muda wa mwaka ntakuwa na frem mbil, bila shaka itakuwa nipo mwaka wa pili, hapo nakuwa kwa mwezi napokea kama 600k kwa mwaka ntakuwa kama na mill 7 hiv ntakuwa nimebakiza mwaka wa mwisho ntakuwa na kama mill 14 hiv...nataka mambo yakiwa mazuri zaid nizid kufungua na sehem tfaut tfaut mana nimefkiria hii biashara inalipa sana na ukizingatia wanafnzi wa vyuo vikuu huwa tukimalizaga chuo tunakuwa useless. staki niishi maisha ya kukariri kwamba ajira ndo iwe kipaumbele kwangu mana naamin kuajiriwa ni kutimiza ndoto za mwenzangu.

Naombeni ushauri wenu wakuu mana najua jukwaa hili lina wajuzi zaidi. kama fikra zangu zipo reasonable au kama kuna mwenye wazo jingine ni kipi nitarajie kufanya, au kama kuna mwenye kujazia hapa itakuwa aula zaidi. naomba mawazo yenu wakuu.

Natanguliza shukraan.
1585411743782.jpeg

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
Mkurugenzi sijapenda komenti yako, hebu tulia umshauri aiseeeee!

Eli....! Sio rahisi namna hiyo bwana! Hyo laki 7 anunue vyombo na mkaa na msos..then achukue 10@!...haya mambo kuandika hua easy!...akitaka akae mwenyewe...sio apitie tena...asbh utaombwa 50ya kununulia msos huna kitu!...bisshara yyt mpya bora ukae mwenyew usome mchezo kwanza!...utajikuta huna mkaa..gesi imeisha...msos wa kupika hakuna na una 70!...!
 
Ndio nilitaka uandike hivi! Good! Sio rahisi
 
Eli....! Sio rahisi namna hiyo bwana! Hyo laki 7 anunue vyombo na mkaa na msos..then achukue 10@!...haya mambo kuandika hua easy!...akitaka akae mwenyewe...sio apitie tena...asbh utaombwa 50ya kununulia msos huna kitu!...bisshara yyt mpya bora ukae mwenyew usome mchezo kwanza!...utajikuta huna mkaa..gesi imeisha...msos wa kupika hakuna na una 70!...!
ok nmkuelewa mkuu, je kwa mawazo yako labda budget yangu iwe ngapi?. kama unaweza na kunipa mchanganuo zaid ya nn nifanye ili wazo langu litimie....

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
Laki 7 upange frem,ununue na makorokoro yote hayo kwa laki 7 hiyo?Unaiona laki 7 ni nyingi sana mura kwa maelezo hayo sio? sasa acha nikushauri watu wengi biashara wanaziweza kinachowakwamisha ni kodi za frem,sasa ipo hivi Hiyo laki 7 yote tengeneza kibanda cha chuma cha kuchomelea kama Hiki hapa chini.

1257335_1410621402157.jpg

hiii itakua ndio frem yako kwahyo tengeneza kwa ukubwa unaotaka kulingana na malengo,yako uliyojiwekea,ukishakimaliza kibanda kikakamilika Najua unaweza ukawa huna tena,hela ya mtaji wa biashara maana najua mpk unakisimamisha kibanda kama hicho hela ambayo itakua mekutoka (utakuja kutusimulia).Sasa baada ya kukimaliza wakati upo unavuta

pumzi "kikodishe" kwa mwezi chukua 30,000 kila mwezi zile 30k ziweke usiziguse zikusanye tu,wakati huo unakusanya hela za mtaji wa biashara yako ya mama ntilie,ukishapata mtaji ukajumlisha na zile 30k za kodi ya kibanda chako,sasa utafungua mama ntilie yako kwenye kibanda chako

ambapo hutakua unalipa tena kodi mahali popote maana utaenda kukitega kibanda chako maeneo ya masoko ambapo ushuru kwa siku ni 1000,utafanya biashara bila hofu ya kodi nauhakika biashara haitokushinda.
 
Laki 7 upange frem,ununue na makorokoro yote hayo kwa laki 7 hiyo?

Unaiona laki 7 ni nyingi sana mura kwa maelezo hayo sio? sasa acha nikushauri

wewe bado unasoma,biashara na masomo sio mbaya ila epuka maswala ya KODI

watu wengi biashara wanaziweza kinachowakwamisha ni kodi za frem,sasa ipo hivi

Hiyo laki 7 yote tengeneza kibanda cha chuma cha kuchomelea kama Hiki hapa chini

View attachment 1423917

hiii itakua ndio frem yako kwahyo tengeneza kwa ukubwa unaotaka kulingana na malengo

yako uliyojiwekea,ukishakimaliza kibanda kikakamilika Najua unaweza ukawa huna tena

hela ya mtaji wa biashara maana najua mpk unakisimamisha kibanda kama hicho hela

ambayo itakua mekutoka (utakuja kutusimulia).Sasa baada ya kukimaliza wakati upo unavuta

pumzi "kikodishe" kwa mwezi chukua 30,000 kila mwezi zile 30k ziweke usiziguse zikusanye tu

wakati huo unakusanya hela za mtaji wa biashara yako ya mama ntilie,ukishapata mtaji ukajumlisha

na zile 30k za kodi ya kibanda chako,sasa utafungua mama ntilie yako kwenye kibanda chako

ambapo hutakua unalipa tena kodi mahali popote maana utaenda kukitega kibanda chako maeneo

ya masoko ambapo ushuru kwa siku ni 30k,utafanya biashara bila hofu ya kodi nauhakika biashara

haitokushinda.
Lakini mkuu uyu si amesema kwamba yeey atafungua alafu atampa mtu aendeshe yeye awe anapitia elfu10 yake tu kila siku ivyo run cost za kila siku ikiwemo na kodi hazitomuhusu ama mimi nimemuelewa vibaya nini boss!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haswaaaaaaa nimemaanisha hivyo mkuu

shukraan mkuu, ntaufanyia kazi ushauri

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
Back
Top Bottom