ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,629
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo Diploma, natarajia nikijiunga na Degree mwaka huu Mungu akijaalia ile pesa ya boom niiwekeze. Nataka nifanye kitu kimoja kama tittle inavyojieleza.
Natarajia kuwa kama na laki 7 hivi za mwanzo tofauti na boom. Nafkiria kuchkuwa frem nianzishe biashara hii lakini katika oparashion itakuwa ni tofauti kidogo na ilivyozoeleka.
Awali natarajia kukodisha frem kwa hiyo laki 7 na kununua vyombo kama, sahani kama 20, vibakuli20,vikombe 20,vijiko, sufuria kama 7 size tfaut,ndoo ya kunawia, viti na meza kama mbil, majiko mawil ya mkaa na moja la gas kwaajil ya vyakula vya haraka.pesa ilobaki nannua vyakula vya kuanzia. biashara yangu natarajia iwe kwa wateja wa kawaida tu yaani asbuh kuwe na supu, chai,maziwa,maandazi ,chapati,na baadhi ya vitafunwa vngine ambavyo nita out source ili kubalance mda. Mchana, natarajia kuwepo na ugali,wali,ndizi, na usiku hivyohivyo.
Najua muda utanibana sana nandoman nkasema hapo juu kuwa biashar yangu natarajia kuwa tofauti kidogo, hivyo natarajia kuweka mtu awe ananipa elf 10 kwa siku yeye atajilipa mwenyewe stak pesa kubwa mana nahofia nikitaka nimlipe mm biashara itakufa mapema kutokana na tamaa ya kunipiga nandoman sitak iwe hivyo, nataka ajismamie ahakikishe ananilipa elf 10 huku yeye akiingiza faida kubwa..kila sku napitia elf 10 yangu, yaani nakuwa kama mm ndo nmempa mtaji tu, kila kitu anafanya yeye, akitak aongeze wafanyakaz kama biashara imekuwa ni juu yake.
Natarajia nikikusanya hiyo pesa nisiitumie nifanye hivyo tena kwa muda wa mwaka ntakuwa na frem mbil, bila shaka itakuwa nipo mwaka wa pili, hapo nakuwa kwa mwezi napokea kama 600k kwa mwaka ntakuwa kama na mill 7 hiv ntakuwa nimebakiza mwaka wa mwisho ntakuwa na kama mill 14 hiv...nataka mambo yakiwa mazuri zaid nizid kufungua na sehem tfaut tfaut mana nimefkiria hii biashara inalipa sana na ukizingatia wanafnzi wa vyuo vikuu huwa tukimalizaga chuo tunakuwa useless. staki niishi maisha ya kukariri kwamba ajira ndo iwe kipaumbele kwangu mana naamin kuajiriwa ni kutimiza ndoto za mwenzangu.
Naombeni ushauri wenu wakuu mana najua jukwaa hili lina wajuzi zaidi. kama fikra zangu zipo reasonable au kama kuna mwenye wazo jingine ni kipi nitarajie kufanya, au kama kuna mwenye kujazia hapa itakuwa aula zaidi. naomba mawazo yenu wakuu.
Natanguliza shukraan.
Sent using [Samsung galaxy s10]