Laki 7 upange frem,ununue na makorokoro yote hayo kwa laki 7 hiyo?Unaiona laki 7 ni nyingi sana mura kwa maelezo hayo sio? sasa acha nikushauri watu wengi biashara wanaziweza kinachowakwamisha ni kodi za frem,sasa ipo hivi Hiyo laki 7 yote tengeneza kibanda cha chuma cha kuchomelea kama Hiki hapa chini.
View attachment 1423917
hiii itakua ndio frem yako kwahyo tengeneza kwa ukubwa unaotaka kulingana na malengo,yako uliyojiwekea,ukishakimaliza kibanda kikakamilika Najua unaweza ukawa huna tena,hela ya mtaji wa biashara maana najua mpk unakisimamisha kibanda kama hicho hela ambayo itakua mekutoka (utakuja kutusimulia).Sasa baada ya kukimaliza wakati upo unavuta
pumzi "kikodishe" kwa mwezi chukua 30,000 kila mwezi zile 30k ziweke usiziguse zikusanye tu,wakati huo unakusanya hela za mtaji wa biashara yako ya mama ntilie,ukishapata mtaji ukajumlisha na zile 30k za kodi ya kibanda chako,sasa utafungua mama ntilie yako kwenye kibanda chako
ambapo hutakua unalipa tena kodi mahali popote maana utaenda kukitega kibanda chako maeneo ya masoko ambapo ushuru kwa siku ni 30k,utafanya biashara bila hofu ya kodi nauhakika biashara haitokushinda.