Mwenye biashara zake huko juu kasha comments mimi ni nani hata niongezee neno??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaaana ushuru kwa siku wa biashara ni 30,000?Laki 7 upange frem,ununue na makorokoro yote hayo kwa laki 7 hiyo?Unaiona laki 7 ni nyingi sana mura kwa maelezo hayo sio? sasa acha nikushauri watu wengi biashara wanaziweza kinachowakwamisha ni kodi za frem,sasa ipo hivi Hiyo laki 7 yote tengeneza kibanda cha chuma cha kuchomelea kama Hiki hapa chini.
View attachment 1423917
hiii itakua ndio frem yako kwahyo tengeneza kwa ukubwa unaotaka kulingana na malengo,yako uliyojiwekea,ukishakimaliza kibanda kikakamilika Najua unaweza ukawa huna tena,hela ya mtaji wa biashara maana najua mpk unakisimamisha kibanda kama hicho hela ambayo itakua mekutoka (utakuja kutusimulia).Sasa baada ya kukimaliza wakati upo unavuta
pumzi "kikodishe" kwa mwezi chukua 30,000 kila mwezi zile 30k ziweke usiziguse zikusanye tu,wakati huo unakusanya hela za mtaji wa biashara yako ya mama ntilie,ukishapata mtaji ukajumlisha na zile 30k za kodi ya kibanda chako,sasa utafungua mama ntilie yako kwenye kibanda chako
ambapo hutakua unalipa tena kodi mahali popote maana utaenda kukitega kibanda chako maeneo ya masoko ambapo ushuru kwa siku ni 30k,utafanya biashara bila hofu ya kodi nauhakika biashara haitokushinda.
🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌Mkuu fungua.
Biashara ikikushinda ukiifunga nitafute ninunue hizo sufuria na jiko la gas.
ok nmkuelewa mkuu, je kwa mawazo yako labda budget yangu iwe ngapi?. kama unaweza na kunipa mchanganuo zaid ya nn nifanye ili wazo langu litimie....
Sent using [Samsung galaxy s10]
Mie naona laki 7 ni ndogo mkuu! From experience...alafu hao unaowakabidhi na wakijua wewe ni men watakupga zaidi!......! Kuna wateja watataka uwe na nyama, maini, samaki, maharage asbh..yaan korokoro zote watataka uweke...! Ah labda simamia mwenyewe
Mie naona laki 7 ni ndogo mkuu! From experience...alafu hao unaowakabidhi na wakijua wewe ni men watakupga zaidi!......! Kuna wateja watataka uwe na nyama, maini, samaki, maharage asbh..yaan korokoro zote watataka uweke...! Ah labda simamia mwenyewe
na kuhusu kupigwa mkuu, ni hivi.
mwanzoni nmeeleza kuwa hiyo biashara nitakuwa sisimamii chochote ni kama nimetoa mtaji kwa mtu yeye faida hata apate laki kwa siku, mm yangu ni elf 10 tu.
Sent using [Samsung galaxy s10]
oooh...nmkupata mkuu..kuhusu hivyo vikorokoro vingi kama samak maini nk kweli hapo pagumu. ila kwa maeneo ambayo nipo huku moro yaan ukianglia vibanda vingi vya mama ntilie wanapika kama nilivyoorodhesha mana nme target wateja wangu wawe ni watu wa hali ya chini. halafu nlishawah muuliz mama mmoja anafnya hiyo mishe aknambia yeye alkuw na vyomb vyake altmia kama laki mbil tu kuanzisha lkn kwa sasa faida anayoingiza kutoa all oparation cost ni kama 20 hiv cku mpaka 25... na skuishia hapo kna mdada nliongea nae anafnya mishe kama hiyohiyo alnambia alianza na kama laki 4 na 80 hiv ila faida ni kubwa kias,hakunitajia faida anapata kias gan.lkn msos ambao wanapika kwa siku ni fixed haubadiliki. maeneo mengi ndo iko hivyo.
Sent using [Samsung galaxy s10]
Laki saba ni nyingi sana kwa kuanza biashara ya mama ntilie,kodi fremu ya bei ya chini 30000,vifaa majiko,meza,viti,sahani,vikombe,vijiko,masufuria,tenga 500000.viti waweza kuweka mabenchi kwanza,utabaki na 170000 hiyo ya kununua vyakula vya kuanzia itatosha na kubaki. Mgahawa wako uwe simple sio huu unaoshauriwa humu na ma don wa JF wa viti vya plastic na meza kali. Nakuhakikishia ukimpata mtaalamu wa kupika vizuri una uhakika wa kulaza 20000-30000 hivyo utapewa mgao wako wa 10000 kwa siku bila shida.Nina uzoefu na hiki nilichoandika maana dada angu naye ndo biashara zake na huwa hanifichi faida anayopata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya biashara ya kuuza mkaa kama unaweza kuupata,tafuta eneo weka magunia yako ishirini,tafuta kijana wa kuuza
Sina uzoefu na hii,ila ni biashara inayotoka sana na itakayotunza mtaji wako bila kupoteamkuu naomba unifafanulie kidogo hii mkuu...kwamb gunia moja nanunua bei gani na nitapata bei gani, nadhan utakuwa na ufaham nayo kigodo hii biashara
Sent using [Samsung galaxy s10]
Haya mkuu..kila la heri
Sina uzoefu na hii,ila ni biashara inayotoka sana na itakayotunza mtaji wako bila kupotea
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo Diploma, natarajia nikijiunga na Degree...
... ila kwa maeneo ambayo nipo huku moro ...
Insha Allah naamini nitapata boom. Japo huwezi weka 100 kwa 100 kwamba nitapata boom...sema mipango ni muhimu ,hata nikilipata sasa najua naanzia wapi
Sent using [Samsung galaxy s10]
Uko Moro au Dodoma?
Turudi kwenye biashara: Huyo unayempa umeshafikiria kwamba anaweza kushindwa kuiendesha?
Biashara kama hiyo inahitaji uwepo wako wewe kwa asilimia zote. Lifikirie hilo.