Biashara ya Mama Ntilie...

shukraan sana mkuu, hata mm nlitamani iwe hivyo kwamba kuwapo na uwepo wangu kutaleta return nzuri na kila kitu kitaenda vizuri..Hapa tatizo linakuja katika muda, mana mda mwingi nitautumia sana masomoni
Uko Moro au Dodoma?

Turudi kwenye biashara: Huyo unayempa umeshafikiria kwamba anaweza kushindwa kuiendesha?

Biashara kama hiyo inahitaji uwepo wako wewe kwa asilimia zote. Lifikirie hilo.

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu wataka nirudi tecno sasa...
All in all ntaiskuma niongezee walau ntmie a20s[emoji23][emoji23]....
Kila la kheri.

Halafu naona unatumia Galaxy S10, inabidi uisukume hii uongezee mtaji. (natania).

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
Mkuu fungua.
Biashara ikikushinda ukiifunga nitafute ninunue hizo sufuria na jiko la gas.
Dhaaa kweli adui yako mwombee njaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

god is good
 
Reactions: amu
Hapana mkuu.
Nilikuwa nashindwa kuandika kwa kirefu nimeandika hivyo kumuonyesha kuwa ni ngumu.
Naongea kwa experience nilishafanya hiyo biashara na kwa utararibu huo huo.
Ni biashara nzuri sana lakini inahitaji muda wako sana na nguvu zako mwenye biashara na si kumpa mtu.
Nimekulia na kusomeshwa kwa chakula mie.
That was our main source of income.
Till leo ni dream business yangu.
Mambo tu hayajakaa vile navyotaka.
Ushauri wangu hana muda aachane nayo hiyo laki 7 itaenda na maji.
Anang'ang'ania poa afungue tu akishindwa mie ataniuzia jiko la gas na masufuria.
Dhaaa kweli adui yako mwombee njaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

god is good
 
Waoo good

Mtoa mada pitia hapa
Utatoka na mawili matatu
Kwa huyu dada


Ila n ukweli biashara inatka
Usmamiz walau mwanzo ndo ujue
Kama itakulipa au laaa


Mm nlishaapa swez fungua biashara
Kama siismamii mwenyewe
Muda wako ndo pesa yako

god is good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…