Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
Hii biashara ndio nimeianza naomba mwenye uzoefu wa masoko tuwasiliane ili tuungane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaendeleaje ndg nataka kujifunza kitu toka kwakoHii biashara ndio nimeianza naomba mwenye uzoefu wa masoko tuwasiliane ili tuungane. View attachment 1582367
Usianzishe biashara kama hujui bidhaa unayozarisha utamuuzia naniUnaendeleaje ndg nataka kujifunza kitu toka kwako
Unga unashida gani kwenye kuuza ndg yangu?nilishawahi kuwa agent wa kiwanda fulani kilichokuwepo maandazi road karibu na veta nakumbuka nilikuwa nauuza kweli kweliUsianzishe biashara kama hujui bidhaa unayozarisha utamuuzia nani
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Msosi in general hauwezi kukosa soko. Ishu kubwa ni sehemu ya kuweka bidhaa husikaUnga unashida gani kwenye kuuza ndg yangu?nilishawahi kuwa agent wa kiwanda fulani kilichokuwepo maandazi road karibu na veta nakumbuka nilikuwa nauuza kweli kweli
Mkuu, mashine yako ya packaging bado ipo? ni model gani? Nami nahitaji sana ili kufikia mwisho wa mwaka huu nianze kazi.Mkuu mashine ya kusaga na kukoboa sijaagiza kutoka nje. Hii niliinunua kutoka kwa mstaafu mmoja wa Relwe(TRC) mwaka 2010 nikiwa chuo. Nilinunua kinu cha kukoboa na kinu cha kusaga na mota moja niliyoifunga katikati kwa vinu vyote. Mota yangu ni ya 20hp nilinunua kwa sh.700,000.Hivyo vitu vingine nilinunua kwa milion 2 wakat huo.
Kwa sasa niliagiza mashine ya kupima uzito,kujaza na kufunga mifuko(VFFS) kutoka China. Hii ilinicost mil 4.5 mpk kufika Bongo.Hapo ondoa gharama za shipping kwakua nilipakia katika kontena la mtu.
Natumai nimekujibu.
Mkuu, unaposikia neno biashara, jua biashara ni kazi kama kazi zingine na inahitaji dedication na knowledge (kwa kusoma au uzoefu) kama zilivyo biashara zingine.Hii biashara inaonekana ni kimeo, watu wakishaanza wanapotea kimya kimya.
Fact#Mkuu, unaposikianni biashara tu jua ni kazi inayohitaji dedication na knowledge (kwa kusoma au uzoefu) kama ilivyo biashara zingine.
Biashara yoyote ukiingia kichwa kichwa kwa kuaikia story za watu bila kuwa na taarifa sahii pamoja na self drive inakula kwako.
Mkuu,Hii biashara ndio nimeianza naomba mwenye uzoefu wa masoko tuwasiliane ili tuungane. View attachment 1582367
Na feedback inaleta matunda sana kwa sisi ambao tuna ndoto za baadaeTunaomba feedback!
Tatizo la JF ni mtu kuanzisha mada ya kuomba msaada halafu baadaye hata hasemi kama alifanikiwa, alikutana na changamoto, au hakuanza kabisa.
Hii tunaiona sana na ikiendelea hivi basi kunakuwa hamna faida ya kupeana ushauri. Wengine tunahamasika pale tunapoona wenzetu wamefanikiwa. Lakini hata pale ambapo mafanikio hayajapatikana, bado kuna kitu cha kujifunza.
Mkuu, unaposema unit, unamaanisha ni unit za umeme?Nimefanya hii biashara kwa miaka kadhaa.Ni biashara nzuri sana.Kinacho 'matter' zaidi ni location.Ukipata location nzuri kwa siku moja unaweza kwenda mpaka units 60,70 na zaidi.Kwa wastani unit moja ni Sh 1350.Uzuri wa hii biashara ni kwamba sio pasua kichwa.Haina usumbufu mwingi wa maintenance.Zaidi sana labda kubadili chekeche,oil na mikanda tena inaweza kuwa mara moja tu kwa mwaka.
Kiongozi, umewahi kufanya biashara na taasisi za kibongo? Unawauzia huduma yako leo, wanakulipa baada ya mwaka mmojaPamoja na kutokuwa na uzoefu wa biashara aina hiyo, lakini nimeshuhudia uendeshwaji wa biashara hii nikiwa katika kampuni inafaa sana tu.
Jaribu kubadili kidogo mtazamo na matarajio ya biashara yakio na geukia upande wa pili kwa kujenga dhamira ya kujiamini zaidi ili ufanye makubwa.
Usifikirie watu wakuletee mahindi ili ukoboe na kusaga, ila hilo liwe second target.
Nikuhakikishie tena jiamini na jenga moyo wa kufanya makubwa, Kama Mungu yuko upande wako hakuna lisilowezekana, ila uwe tayari kuruka vihunzi kabla hujafikia mafanikio.
- Kwanza fikiria kuwa na chanzo cha uhakika cha kupata mahindi na ikiwezekana kulima shamba lako mwenyewe na ya kununua iwe nyongeza tu.
- Pili fungua macho yako kwenye taasisi na vyuo na fanya utafiti utaona wanaweza kuwa soko lako ya uhakika ukiingia mkataba nao
- Tatu buni packaging ambayo itakuwa labeled na shirika la viwango ili kurudufu ubora wa bidhaa yako unaweza kuwa na soko hata kwenye supermarkets
- Nne wateja wengine wawe extra income baada ya kujiridhisha kuwa na uhakika wa kuendesha biashara yako hata kama unakuwa na upungufu wa wanaokuja kutumia vinu vyako.
Penye nia pana njia
Balaa zito [emoji3]Kiongozi, umewahi kufanya biashara na taasisi za kibongo? Unawauzia huduma yako leo, wanakulipa baada ya mwaka mmoja