Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia kwenye game sasa uone mziki wake, utasema umerogwa..!😂Inawezekana lakini kwa kusimuliwa 😂
UONGOMatunda yanalika sana, haijalishi dini wala kabila watu wote wanakula matunda. Biashara hii inahitaji uhakika wa usafiri ili uweze kuuza matunda yakiwa katika hali ya ubora.
Well said bujibuji. Hizi mambo za ohh kitu fulani kinalipa natamani hawawatu wachomwe moto hadharaniHata iwe Tanga, Mbeya au Iringa au popote unachokielezea ni hearsay business not real business.
Ingia uwanjani uuone Moto wake
Na pia anauzia wapi,tujaribu kuchukua details zilizokuwa ndani ya taarifa,hii itatujenga hata mitazamo yetu,tusikimbilie kuikosoa elimu kwamba ni mbovu wakati umeshindwa kuelimika.Inategemea unanunulia wapi
Trust me matunda ya elfu 20 never hayawez kutoa sahani 100Inategemea unanunulia wapi
Tupate chai kwanza kabla ya kwenda kaziniMatunda ya 20,000 yanampatia laki mbili kwa siku.
Huyu mtoa mada ni motivation speaker tu, hakuna cha maanaLeo saa 11 alfajiri sokoni kutajaa watu wenye 20,000 zao wanaodhani kirahisi kabisa zitakuwa sh. 200,000/
Ila nawe mbona unapita mule mule,no fact za unalolisema,nadhani ingependeza zaidi Kama ungemkosoa kwa facts nasi tukazijengea solutions hzo changamoto,huo ndio uungwana kusema 2 haiwezekani na hutoi options zako hiyo mhhBullshit INSPIRATION
Mkuuu biashara hizo za vitabuni kila biashara inalipa... ila kwa ground mambo huwa ni tofauti kabisa
Weka facts na sio hadithi za vijiweni
Hii ndiyo changamotoNi biashara nzuri sana, hasa ukiwa na uhakika wa upatikanaji wa mzigo