Moshi wa Kumbi
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 165
- 100
Nadhani tuna matunda yapo mengi ktk nchi yetu na hii ni fursa ya kujitoa kiuchumi.
Kuhusu matunda ni wazo langu. Ili niweze kupack vizuri na kuyauza kwa kusafirisha.Mbona hapo sion matunda yalibanwa ila waweza tumia refrigeration
Kuhusu matunda ni wazo langu. Ili niweze kupack vizuri na kuyauza kwa kusafirisha.
Zinaitwajwe mkuu.Iyo mashine ni changamoto kidogo inahitaji lailon zake sio hizi za mtaani halafu pili kwenye ishu ya matunda tumia lailon zile kubwa zinazofiti kabisa.
Zimekatazwa plastic bag sio plastic packagesi zimekatazwa hizo plastic
Wacha tuone Hiyo 31December.Zimekatazwa plastic bag sio plastic package
Na plastic bag kuna baadhi zijakatazwa
Vacuum sealerZinaitwajwe mkuu.
Hizi sealer ziko na plastic zake maalum,,bila hizo huwezi kuhifadhia kwa plastic ingine..si zimekatazwa hizo plastic
Hivyo hazipo kwenye plastic zilizouliwa mpaka December?Hizi sealer ziko na plastic zake maalum,,bila hizo huwezi kuhifadhia kwa plastic ingine..
Hajajua badosi zimekatazwa hizo plastic
Kwanza fanya utafiti ni matunda gani yanafaa kuhifadhiwa kwa kufungwa na nylon. Mengine ukiyafunga ndio unayaharibu.
Pili unakuwa unelenga soko gani? Na je hizo package hazitaongeza bei ya bidhaa kuweza kupigwa teke na wauzaji wasiofanya packaging
Kama lipi tuweke sawa mkuu