Moshi wa Kumbi
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 165
- 100
Habari za wakati huu wakuu.
Katika pita pita zangu mitandaoni. Nimekutana na hii machine.
Haraka haraka likanijia wazo. Je, kama nitaweza kuhifazi matunda kwa kutumia mifuko ya plastik na kuweza kibana vizur kwa machine hiyo.
Swali langu liko hapa je inawezekana kuhifadhi matunda kwa njia hii?
Na je? Kama itawezekana nitumie kitu gani ili matunda hayo yachukuwe muda kabla ya kuharibika.

Nadhani tuna matunda yapo mengi ktk nchi yetu na hii ni fursa ya kujitoa kiuchumi.