Biashara ya Mayai inalipa sana

Biashara ya Mayai inalipa sana

Wakuu nataka niache aibu nianze kuuza moyai mjini.

Trei 1 ni 6500. Nikiyachemsha na kuyauza kila trey napata 15000, tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne, nitakuwa na faida ya Tsh 34000 na hio ni siku moja.

Nikiuza mwezi mzima nitakuwa na tsh 34000 ×30 =1020000 hapo nikitoa gharama za mkaa, maji, chumvi pilipili tuseme 50000 kwa hio nitabakia na tsh 970000.

Naombeni ushauri ni kipi nizingatie nisije kufeli.
Kama una mahali pa kuuzia hiyo ni biashara nzuri...
 
Back
Top Bottom