Biashara ya Mayai inalipa sana

Biashara ya Mayai inalipa sana

Anza kwanza biashara ndio utapata majibu yote ya maswali yako, ukiuliza sana hutafanya kitu maana kila mtu ana mtazamo wake na uzoefu wake tofauti ambapo mitazamo yao haikuzuii wewe kufanikiwa wala wewe kufeli.
 
Wakuu nataka niache aibu nianze kuuza moyai mjini.

Trei 1 ni 6500. Nikiyachemsha na kuyauza kila trey napata 15000, tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne, nitakuwa na faida ya Tsh 34000 na hio ni siku moja.

Nikiuza mwezi mzima nitakuwa na tsh 34000 ×30 =1020000 hapo nikitoa gharama za mkaa, maji, chumvi pilipili tuseme 50000 kwa hio nitabakia na tsh 970000.

Naombeni ushauri ni kipi nizingatie nisije kufeli.
Umeuona mjengo wa Boniface Jacob (,,,Boni yai)?
Kaujenga kwa kuuza mayai, nawe anza soon utakuwa na mjengo kama boni yai,
 
trei nne ni sawa na mayai 120, una uhakika wa kupata wateja 120 ishirini kila siku wa mayai yako? ili upate hiyo faida unayosema?????
Siyo lazima wateja wawe 120, hujui hesabu wewe. Wateja watakuwa kati ya 1 hadi 120.
Akinunua mayai yote atakuwa mteja mmoja, wakinunua mayai 60, 60 watakuwa wawili.
Wakinunua yai mojamoja watakuwa 120 nk.
 
Anza kwanza biashara ndio utapata majibu yote ya maswali yako na utajua urekebishe wapi, uendelee au uache, ukiuliza sana hutafanya kitu maana kila mtu ana mtazamo wake na uzoefu wake tofauti ambapo mitazamo yao haikuzuii wewe kufanikiwa wala kufeli.
Oya mzee leo umetuma mzigo na Pax?
 
nimefanya wastani wa yai moja moja mkuu, ninatambua kuna wengine wanaweza chukua zaidi ya moja
Siyo lazima wateja wawe 120, hujui hesabu wewe. Wateja watakuwa kati ya 1 hadi 120.
Akinunua mayai yote atakuwa mteja mmoja, wakinunua mayai 60, 60 watakuwa wawili.
Wakinunua yai mojamoja watakuwa 120 nk.
 
Wakuu nataka niache aibu nianze kuuza moyai mjini.

Trei 1 ni 6500. Nikiyachemsha na kuyauza kila trey napata 15000, tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne, nitakuwa na faida ya Tsh 34000 na hio ni siku moja.

Nikiuza mwezi mzima nitakuwa na tsh 34000 ×30 =1020000 hapo nikitoa gharama za mkaa, maji, chumvi pilipili tuseme 50000 kwa hio nitabakia na tsh 970000.

Naombeni ushauri ni kipi nizingatie nisije kufeli.
Trei 4 possible kabisa kumaliza kwa siku hata zaidi ya hizo, kikubwa ni juhudi na ubunifu tu.Kuna Siku utauza 4 kuna siku 3 kuna siku hutauza kabisa labda unaumwa, na kadhalika. Ila juhudi na ubunifu wako ndio mtaji wako mkubwa.

Humu utakatishwa tamaa sana, kwamba haiwezekani mara utamuuzia nani, wewe pambana.

Na kuweka makadirio makubwa ni nzuri kwa sababu inakufanya kupambana zaidi,
 
🤝 positivity
 
Mkuu CHASHA FARMING, huko kwenu bei ya mayai kwa trey moja imekaaje?.
 
Wakuu nataka niache aibu nianze kuuza moyai mjini.

Trei 1 ni 6500. Nikiyachemsha na kuyauza kila trey napata 15000, tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne, nitakuwa na faida ya Tsh 34000 na hio ni siku moja.

Nikiuza mwezi mzima nitakuwa na tsh 34000 ×30 =1020000 hapo nikitoa gharama za mkaa, maji, chumvi pilipili tuseme 50000 kwa hio nitabakia na tsh 970000.

Naombeni ushauri ni kipi nizingatie nisije kufeli.
Unajikuta motivational speaker 😅😅
 
trei nne ni sawa na mayai 120, una uhakika wa kupata wateja 120 ishirini kila siku wa mayai yako? ili upate hiyo faida unayosema?????
Mkuu usikatishwe na watu wa mtandao,maisha yako ndio yatakayokufanya uingie mtaani na kupambana.katika maisha hakuna hela nyepesi lazima uitolee jasho.kiufupi mm nauza mayai ya kuchemsha kama ambavyo wewe wataka,nauza trei 6 kila siku na zinaisha sema nina madogo wanauza.ila ukiweka aibu pembeni utauza trei mbili kwa siku ila kama ndio unaanza nakushauri anza na moja kwanza ili uzoee mazingira ya kazi yako.
 
Asante kwa komenti hii!!
Mwamba apambane, akifeli atakua amejifunza kitu
 
Trei nne kwa siku kwani una tenda sehemu? Kwenye utafiti wako umeona inawezekana kweli kuuza trei nne au ndio uko na matarajio makubwa sana.
Kuna madude yanaitwa masharifu yanauza vibaya mno ndani wanatia nyama ya kusaga kidogo na yai moja km lilivyo, labda akifanya hivyo atapiga hela na yanatoka balaa huku nilipo watu wanayambania balaa sharifu 1 linauzwa 500 mpaka 1000 inategemea na ukubwa
 
Fata cheti yudizm ndugu muitimu, halafu ukae chini uumize kichwa kuhusu biashara ya kueleweka, ingia mtaani fanya research intensively, hili wazo lako limeongozwa na njaa ya siku moja, au cjui umeachwa, em acha wenge kwnza!!
 
Back
Top Bottom