Biashara ya mayai ya kienyeji Singida ipoje?

Biashara ya mayai ya kienyeji Singida ipoje?

Udart

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
398
Reaction score
586
Salute, mwezi wa pili nataka nijaribu kufanya biashara ya mayai ya kienyeji kutoka Singida hivyo kwa wazoefu wa hizi mambo kule Singida vijijini bei za tray za mayai zinauzwaje na changamoto zipi nijiandae nazo asanteni.

.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya mayai haijawahi.kumtoa mtu. Bora ufungue duka la nguo
 
Hayo mayai yataharibika yoote kabla hujafika... Njoo inbox tukupe Mchongo
 
asante mkuu ni sehemu.gani yanapatikana kwa wingi

Sent using Jamii Forums mobile app

Nenda vijiji vya ndani Ndago ndago huko,
Ila ningekushauri ununue kuku
Binafsi nilikuwa naagiza ya kula
Mara nyingine unakuta nusu ni mabovu

Hata mtaani watu wanachukia kuyanunua kwa sababu ya kuharibika upesi
 
Yaani uhalisia wa mawazo na kufanya huwa tofauti kabisa, wengi wanawaza lakini naona bora kufanya tu...... Hapa Mara aje mtu aseme amna faida nani anajua wateja wanatokeaga wapi na siku gani kwenye utachojaribu kufanya.
 
Mayai ya kienyeji yana faida shida yake moja ymtu yanaharibika fasta so useme utoe singida uje uuze dar ni haiwezekani pambana ufuhe kuku hadi watage ukiweza pata matetea 50 hadi 70 hukosi hela ya kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom