Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Nifanye nn hicho mkuu?Kuliko kutunza ni bora ufanye upate faida kidogo.
Asante mkuuSina uzoefu na hii kitu lakini kama umeshatia nia go ahead mkuu, labda nikupe fursa tu morogoro maeneo ya ifakara mpaka mlimba huko kuna kipindi gunia moja la mpunga la debe8 huwa ni 50k mpk 60k na kuna kipindi gunia hilo hilo hupanda mpaka kufika 110k.....
ivi turiani kule hawalimi mpunga Miaka hiiAsante mkuu
Sina uhakika kwa kweli Minaivi turiani kule hawalimi mpunga Miaka hii