Biashara Ya mazao Morogoro

Biashara Ya mazao Morogoro

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
11,786
Reaction score
18,562
Natumai nyote ni wazima , nipo Zanzibar Nina mil 5 cash nahitaji kwenda Morogoro kwa ajili ya kujihusisha na ununuaji wa mazao kwa jumla kisha kuyahifadhi kwenye maghala kwa ajili ya kuuza baadae kulingana na mabadikko ya bei.

Kwa wenye uzoefu na hii kitu naomba kujua changamoto zake
 
Sina uzoefu na hii kitu lakini kama umeshatia nia go ahead mkuu, labda nikupe fursa tu morogoro maeneo ya ifakara mpaka mlimba huko kuna kipindi gunia moja la mpunga la debe8 huwa ni 50k mpk 60k na kuna kipindi gunia hilo hilo hupanda mpaka kufika 110k.....
 
Kuliko kutunza ni bora ufanye upate faida kidogo.
 
Sina uzoefu na hii kitu lakini kama umeshatia nia go ahead mkuu, labda nikupe fursa tu morogoro maeneo ya ifakara mpaka mlimba huko kuna kipindi gunia moja la mpunga la debe8 huwa ni 50k mpk 60k na kuna kipindi gunia hilo hilo hupanda mpaka kufika 110k.....
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom