hiyo ndyo nlikua nasubiria hhehehe ilimkutaga jamaa yangu akaliaa hapo Mikese.Mizani:
Muwe waangalifu na hii kitu. Ukisafirisha mbao hasa msimu huu wa mvua zikilowa zinaongezeka uzito na ukifika kwenye mizani la haula!. Lazima upunguze mzigo na kulipa faini!
Jamaa wanaofanya hii biashara wanasema trip moja ya semi trailer inakuwa na faida ya milion tatu na zaid;hii biashara ni nzuri ila tafuta soko kwanza la kuuzia;mzigo wenyewe unapatikana muda wote.Nashukuru sana mkuu kwa maelezo yako,vp kwa huo mzigo mkubwa wa semi trailer kwa utalaamu wako ukisafirisha kuuza dodoma utakuwa na faida nzuri?,na vp kuhusu garama za usafiri hadi Dodoma?
Eucalyptus,unaanza baada ya miaka sita hivi, ukipata Zimbabwe gereration yatatu, miaka mitano waweza vuna mirunda, factor kubwa ni sehemu ulikootesha.
Vipi mkuranga..je kunastawi?.kuna mtu yoyote mwenye experience eneo hilo?..na ni mitiki tu au kuna aina ingine pia?
Mkuu malila katika utafiti wangu juu ya kilimo cha miti ,kuna makala nimesoma wanasema ili kupunguza gharama za uendeshaji kama moto,ulinzi wa msitu nk wanashauri ili upate faida nzuri upande eneo kubwa au wakulima wadogowadogo wenye lengo moja waungane. Je, kwenye umoja wenu ndio munavofanya au
Malila naomba kufahamu kwa sasa mti gani una thamani na unahitajika kwa sana sokoni kati ya eucalytus grandis ukipata generation ya 3 au pinus patula au cyprus na kama ukitupatia bei zake itafurahisha zaidi.
pia inaonekana wenzetu wa afrika ya kusini wanazo mbegu bora na hata uganda.je mushawahi kuagiza mbegu huko? je kuna changamoto yoyote ya kuagiza mbegu huko
Angalia pm yako.Naomba kujua generic name ya huu mti unaozalisha mbao ya cyprus ambao unalimwa njombe
Ya kuweka vibaruwa ili wapasue ww utaenda kuziuza mbao ktk mikoa yenye mahitaji makubwa ya mbao, hiyo itakupa faida kubwa zaidi!!!!
Safi sana, lakini sio kila sehemu miti inakubali. Kwa kanda ya ziwa kwa mfano ni Sengerema ma bukoba tu ndio maeneo pekee miti hii ya mbao inakubali. Sehemu zingine kazi Kweli Kweli.