Biashara ya mbao

Biashara ya mbao

Muxt

Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
43
Reaction score
60
Wakuu kwema!!

Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza.

Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa

Vitu muhimu navyotaka kujua
1. Bei ya chainsaw
2. Bei za miti
3. Bei za wachananji/fundi
4.Bei za mbao zenyewe kwa aina zake
5 Biashara hii inaenda kwa maana uwezekano wa faida upo??

Ahsanteni natanguliza shukuran 🙏
 
Mkuu umesahau mashine ya kuchania mbao maneno yaliyo na miti Njombe , iringa nk ila huko kuna wadau wengi
 
Wakuu kwema!!

Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza.

Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa

Vitu muhimu navyotaka kujua
1. Bei ya chainsaw
2. Bei za miti
3. Bei za wachananji/fundi
4.Bei za mbao zenyewe kwa aina zake
5 Biashara hii inaenda kwa maana uwezekano wa faida upo??

Ahsanteni natanguliza shukuran 🙏
Hapo mchawi vibali tu
 
Back
Top Bottom