JAY THE SON
Member
- Nov 26, 2017
- 43
- 33
Yaani ndugu yangu kuniambia tu meatu kuna mbuzi na bei ni kiasi hiki ulikuwa inatosha suala la kwamba nitakutumia pesa ili uninunulie sidhani kama ni wazo kwa mfanyabiashara na mtafiti kwangu Mimi ni muhumi kufika na kujionea hali halisi huku nikijufunza asante kwa ushirikianoSasa Mimi soko la Dar nitakusaidiaje? Tuma pesa huku kwetu MEATU nikununulie mbuzi mmoja unaweza kumpata kwa bei ya kati ya 30-50 elfu! Commission yangu itakuwa bei gani? usafiri ni fuso na bei ni mawelewano!
Nashukuru kwa mtazamo wako ni kweli nipo DSM na nilichotaka ni kulinganisha bei KUHUSU uvivu bado naheshimu ulichokitafakar ila Mimi naheshimu nguvu ya mitandao kwa sababu mitandao hii imetuwezesha kufikisha mawazo yetu mahali ambapo tusingeweza kufika kwa miguu yetu asante sana ndugu kama mjasiliamali nahitaju kujifunza kuwasiliana na mteja ambae hutumia lugha za maudhi na wakati mwingine asiye elewa kwa urahis nakushukuru kwani pia aliguswa na kutumia muda kunijibu tuendelee kushirikianaYaani kaktika watu wavivu wewe ni namba moja. Uko Dar hujui hata masoko ya mbusi yako wapi!
Itakuwa ngumu sana klusaidia mtu kama wewe.
Ili kukusaidia, fanya utafiti ujue kwa Dar soko olikoje ukisha pata jibu, njoo nitakuelekeza maeneo ambayo unaweza kununua mbuzi hadi kwa elf 15
Nicheki kwa namba hii 0624066487. Kwetu Dom mbuzi wengi sana vijijini bei kuanzia 40 mpk 70 mbuzi mkubwa kabisa
Bila shaka kutakua na kibali kwenye mambo ya kusafirisha wanyama( nimedhani tu sina hakika)Habar za muda wadau wa jamii forum heri ya mapumziko ya jumapili na Siku ya ibada pia
Nimejitokeza kwa mara nyingne tena kuuliza kwenu wadau ambao mshewahi kufanya Biashara hii ya mbuzi kwa DSM na hii inafuatia kufanya utafiti maeneo niliyopo na kukutana na maswali ambayo naomba msaada kwenu na nipo tayar kupokea changamoto zozote kutoka kwenu kwa kuwa naamin uwepo wenu humu unatusaidia kuweza kufikisha mawazo na mitazamo yetu sehemu ambayo hatuwez kufika kwa miguu yetu nakuomba unachokifahamu share ili tusaidiane
Naomba kuuliza yafuatayo
- ni maeneo gani kunapatikana mbuzi wakubwa wanaofaa kwa Biashara na bei zake zikoje ingawaje zinatofautiana na msimu
-usafirishaji kutoka huko kwa mbuzi mmojamoja ni kiasi gani na upokewaji wake hufanyikaje
-Bei ya kuuza mbuzi mmoja au jinsi anavyonunuliwa haswa na wadau wenye majiko ya nyama choma na bei hii nikimaanisha anavyouzwa mnadani na kwa MTU wa jiko
-kuna utofauti kati ya mbuzi wa supu na mbuzi wa nyama na tofauti ikoje
Karibuni wadau tupeane faida na tukomboane na hali ya maisha ya sasa
Naomba tuwasiliane mkuu!Sasa Mimi soko la Dar nitakusaidiaje? Tuma pesa huku kwetu MEATU nikununulie mbuzi mmoja unaweza kumpata kwa bei ya kati ya 30-50 elfu! Commission yangu itakuwa bei gani? usafiri ni fuso na bei ni mawelewano!
Kuna kondoo pia?Ukitaka mbuzi njoo Dodoma kongwa yn wenzio wanapiga hela atar ...mbuz n weng mnoo ...being chee
Sent using Jamii Forums mobile app