Biashara ya mchele toka Kyela, Kasumulu

Biashara ya mchele toka Kyela, Kasumulu

Jifunze mkuu niwe mteja wako dar huwa nahitaji walau mchele tani moja kwa wiki kwaaajili ya duka la rejareja
Nina mchele wa kulima mwenyewe nategemea kuvuna gunia 250 ambazo ni zaidi ya Kilo 15,000 elfu ambazo kimsingi nataka kuzifanya kama mtaji wa kuanzia biashara mjini Dar es salaam. Nimeshazoea kulima na kuuzia shambani kule kule sasa nataka frem niuze mwenyewe, pia wapo majirani zangu ambao wamekubali kunipa gunia zao zinazofikia 400 ili nizilete mjini kwa makubaliano ya kuwauzia na kuwapa fedha yao na mimi nibaki na cha juu.
Nimeamua hivyo nikidhani kuwa nitapata faida kubwa na pia nitaifanya kazi kuwa endelevu badala ya kulima na kuvuna kisha unakaa miezi 6 kusubiri mvua tena.
Naomba ushauri na kama kuna mbinu nyingine.
Ahsanteni
 
Mkuu nilifatilia hii ishu kama walivyonielekeza jamaa hapo juu nikaenda maeneo ya kalumbulu ile kukuta mchele kilo 1 @3,000 Tsh nikakata tamaa.
 
Nina mchele wa kulima mwenyewe nategemea kuvuna gunia 250 ambazo ni zaidi ya Kilo 15,000 elfu ambazo kimsingi nataka kuzifanya kama mtaji wa kuanzia biashara mjini Dar es salaam. Nimeshazoea kulima na kuuzia shambani kule kule sasa nataka frem niuze mwenyewe, pia wapo majirani zangu ambao wamekubali kunipa gunia zao zinazofikia 400 ili nizilete mjini kwa makubaliano ya kuwauzia na kuwapa fedha yao na mimi nibaki na cha juu.
Nimeamua hivyo nikidhani kuwa nitapata faida kubwa na pia nitaifanya kazi kuwa endelevu badala ya kulima na kuvuna kisha unakaa miezi 6 kusubiri mvua tena.
Naomba ushauri na kama kuna mbinu nyingine.
Ahsanteni

Unalimia wapi mkuu
 
Kama sio mzoefu nakushauli uza huko huko,mjini kuba mengi brother, wafanyabiashara wengi wanakopa kuanzia mchele ,sembe sukali nk, sasa kama ww mtaji wako mdogo achana hiyo, lazima uwe na usoefu na hii biashara, pale sokoni kuna kauli unaulizwa tax ngapi unaweza ukauza mchele 3000 wenzako wakakushauli uuze 2900 mteja kafika bei hiyo kumbe mteja amefika sh 3400 sasa hapo mteja akichukua kilo 70000, ckushauli kama sio mzoefu
 
Habari za mchana wakuu?
Moja kwa moja kwenye mada, hizi ni taarifa fupi nilizopata mpaka sasa kuhusu biashara ya mchele toka Kyela eneo la Kasumulu ndipo utaponunuliwa.

Mosi, plastick la debe moja ambalo linatoa kg 20 wanauza Tsh. 52,000/-

Pili, usafirishaji wa package ya kilo 100 toka Kasumulu mpaka Dar es salaam kwa lori ni Tsh. 15,000/-

Tatu, Ushuru ni Tsh. 1,500/- kwa kilo 100.

Nne, weka kupakia package ya kg 100 kwa Kasumulu iwe Tsh. 500 na kushusha Dar iwe Tsh. 1,000/-

Tano, gharama ya hapo mzigo utaposhushiwa mpaka kufika site utapouziwa iwe Tsh. 3,000/-

Jumla ya gharama zote ni Tsh. 281,000/- kwa mchele wa kilo 100. Sasa kwa bei niliyoambiwa jijini Dar kg 1 ni Tsh. 3,500/- kwa mchele super. Kwaiyo ukiuza kg 100 utapata Tsh. 350,000/- ukitoa utapata faida ya Tsh. 69,000/-.

Sasa nimekuja hapa wakuu niwaulize je kuna information gani sijaipata hapo na ni muhimu kuipata kabla sijajitosa?

Asanteni.
Biashara mchele kila sehemu kuna taratibu zake nawe akili yako imechangamka kiasi gani, mfano ifakara , huwezi pata gari bila dalali na kila kilo ya mchele inasafulishwa kwa sh 80-90 mpaka dar sasa hapo kilo 100 ni sh 8000 au 9000 alafu ushuru kule ni sh 3000 kwa kilo 100, hapo kuna changamoto ya kwenye mzani je una uzoefu nao ? Tofauti na hapo unapigwa hata kilo 2-5 ukija dar pia kuna mzani wa kununulia alafu kuna mzani wa kuulzia inategemea ww mchele unakwenda kuuza wapi
 
Duh. Haya mambo yanahitaji akili kubwa sana..
 
Kama sio mzoefu nakushauli uza huko huko,mjini kuba mengi brother, wafanyabiashara wengi wanakopa kuanzia mchele ,sembe sukali nk, sasa kama ww mtaji wako mdogo achana hiyo, lazima uwe na usoefu na hii biashara, pale sokoni kuna kauli unaulizwa tax ngapi unaweza ukauza mchele 3000 wenzako wakakushauli uuze 2900 mteja kafika bei hiyo kumbe mteja amefika sh 3400 sasa hapo mteja akichukua kilo 70000, ckushauli kama sio mzoefu
Mimi nauzia mtaani kwenye maduka ya kawaida kwenye misongamano mikubwa wala siendi kwenye masoko makubwa..mpango ni kuanzisha Nafaka store kubwa ya mchele na sembe, dona nk.sitaki kuwa na dalali hata kama utokaji utakuwa mdogo
 
Jifunze mkuu niwe mteja wako dar huwa nahitaji walau mchele tani moja kwa wiki kwaaajili ya duka la rejareja
Habari mkuu, mimi nafanya biashara ya mchele lakini soko kwangu ni mtihani sana, kama uko tayari tufanye biashara ya mchele kutoka wilaya ya Songwe pembezoni mwa ziwa Rukwa niwe nakuletea mchele Dar.
Ahsante
 
Habari za mchana wakuu?
Moja kwa moja kwenye mada, hizi ni taarifa fupi nilizopata mpaka sasa kuhusu biashara ya mchele toka Kyela eneo la Kasumulu ndipo utaponunuliwa.

Mosi, plastick la debe moja ambalo linatoa kg 20 wanauza Tsh. 52,000/-

Pili, usafirishaji wa package ya kilo 100 toka Kasumulu mpaka Dar es salaam kwa lori ni Tsh. 15,000/-

Tatu, Ushuru ni Tsh. 1,500/- kwa kilo 100.

Nne, weka kupakia package ya kg 100 kwa Kasumulu iwe Tsh. 500 na kushusha Dar iwe Tsh. 1,000/-

Tano, gharama ya hapo mzigo utaposhushiwa mpaka kufika site utapouziwa iwe Tsh. 3,000/-

Jumla ya gharama zote ni Tsh. 281,000/- kwa mchele wa kilo 100. Sasa kwa bei niliyoambiwa jijini Dar kg 1 ni Tsh. 3,500/- kwa mchele super. Kwaiyo ukiuza kg 100 utapata Tsh. 350,000/- ukitoa utapata faida ya Tsh. 69,000/-.

Sasa nimekuja hapa wakuu niwaulize je kuna information gani sijaipata hapo na ni muhimu kuipata kabla sijajitosa?

Asanteni.
Kwa nini wasipime Kwenye mizani?
 
Back
Top Bottom