Biashara ya memory card na flash inasaidia kujikimu

Biashara ya memory card na flash inasaidia kujikimu

Joined
Apr 28, 2019
Posts
54
Reaction score
110
Habari wana JF,

Kama vijana tunapata changamoto nyingi katika kupambana na maisha yetu ya kila siku, na baadhi yetu tukiwa tunajiuliza tutatoka vipi?

Kwani biashara nazo zimekua shida kwani baadhi yetu tumekua tukidhani tunahitaji mtaji mkubwa mnoo bila ya kujua si lazima uwe na mtaji wa kiasi hicho, kwa mfano mimi nafanya biashara ya kuuza memory card ambapo nimejikuta nikiwapa ajira vijana wenzangu japo sio fixed salary ila hawezi kosa elf 10 kwa siku.

Kwani mambo ya kununua vitu mtandaoni imerahisha kupata bidhaa kwa bei nafuu kikubwa ue muaminifu ili uweze kufanya biashara ambazo ofisi unakua ni wewe mwenyewe na si jengo:

Na kama haujui basi fursa ya kuanza now ni hii!!., mimi nauza memoty card kwa rejareja na jumla na bei ni kama zifuatazo::

MEMORY::
64GB=(JUMLA 18000/=);(REJA 22000/=)
128GB=(JUMLA 24000/=);(REJA 28000/=)
256GB(JUMLA 26000/=);(REJA 32000/=)
512GB(JUMLA 29000/=);(REJA 38000/=)

For more info::
WhatsApp/call
0677943394
0757103810

NB: Si kila fursa ni utapeli japo sio ujinga kuwa curios.
 
Nice, just to be curious Hembu picha za Flash ya size ya 2TB.
Zipo za samsung na zipo izo min ambazo ukiziangalia unaweza jua ni ile sensor ya mouseView attachment 1819298View attachment 1819300
memorycardfactory-20210614-0006.jpg
View attachment 1819301
1623567623821_100.PNG
 
Habari wana JF,

Kama vijana tunapata changamoto nyingi katika kupambana na maisha yetu ya kila siku, na baadhi yetu tukiwa tunajiuliza tutatoka vipi?

Kwani biashara nazo zimekua shida kwani baadhi yetu tumekua tukidhani tunahitaji mtaji mkubwa mnoo bila ya kujua si lazima uwe na mtaji wa kiasi hicho, kwa mfano mimi nafanya biashara ya kuuza flash na memory card ambapo nimejikuta nikiwapa ajira vijana wenzangu japo sio fixed salary ila hawezi kosa elf 10 kwa siku.

Kwani mambo ya kununua vitu mtandaoni imerahisha kupata bidhaa kwa bei nafuu kikubwa ue muaminifu ili uweze kufanya biashara ambazo ofisi unakua ni wewe mwenyewe na si jengo:

Na kama haujui basi fursa ya kuanza now ni hii!!., mimi nauza flashi kwa rejareja na jumla na bei ni kama zifuatazo::

FLASH::
128GB=(JUMLA 14000/=);(REJA 18000/=)
256GB=(JUMLA 17000/=);(REJA 28000/=)
512GB=(JUMLA 21000/=);(REJA 38000/=)
1TB=(JUMLA 28000/=);(REJA 48000/=)
2TB=(JUMLA 33000/=);(REJA 58000/=)

MEMORY::
64GB=(JUMLA 12000/=);(REJA 17000/=)
128GB=(JUMLA 13000/=);(REJA 18000/=)
256GB(JUMLA 16000/=);(REJA 25000/=)
512GB(JUMLA 19000/=);(REJA 35000/=)

For more info::
WhatsApp/call
0735103810
0757103810

NB:: Si kila fursa ni utapeli japo sio ujinga kua curios.
Hizi bei zimekaa kitapeli sana mi nipo kwenye hii biashara ila sijawahi nunulia hiyo bei labla kama unafuata china mwenyewe
 
Kitu kingine kaambiwa aweke picha kaishia kutafuta picha za AliExpress ndio katuwekea humu
Naagiza ebay kiongoz na sio dhambi kwani bidhaa atayopata mtu ni the same ivo sioni shida, mim nitaona aibu km mtu atanunua bidhaa kisha itakua fake na km nlivosema apo mwanzo sikatazi mtu kua curious kwan apa ni sehemu ya wazi ivo upo sawa kwa usemacho much respect[emoji122]
 
Hizi bei zimekaa kitapeli sana mi nipo kwenye hii biashara ila sijawahi nunulia hiyo bei labla kama unafuata china mwenyewe
Kikawaida hakuna biashara isio na changamoto kiongozi ivo mim nipo optimistic nacho jari ni final user awe satisfied ,uyo akinilalamikia nitaumia ila km wewe unaitaji kunikosoa bas siwez kukufunga coz nmawazo yako mkuu
 
Hizi bei zimekaa kitapeli sana mi nipo kwenye hii biashara ila sijawahi nunulia hiyo bei labla kama unafuata china mwenyewe
Hata uchina huwezi kupata Kwa bei hiyo Mkuu,hii ndio biashara yangu huwa naagiza kila mwez sio chini ya pcs 5000,hiyo ya GB 128 original kabisa yenye uwezo huo Kwa China ni 11000-13000 hujaweka usafir, faida Na Kodi
 
Ni kweli usemalo mzee but suppliers selection it's not the same na kingine price ni one of competition technique kwenye soko ivo usione kisa bei ipo chini ukais mm nitapeli au nauza mzigo fake just jua dunia kubwa hii kiongozi wangu na pengine ukashangaa mm ndo nikawa suppliers wako just try kuchukua mzigo then ukiona magumashi urudi jf uwambie kua mm nitapeli coz naelewa nin nafanya kiongoz wang so km nlivosema unachofanya ww ni kua curious juu ya bei which is good to goodthinker like you
 
Ni kweli usemalo mzee but suppliers selection it's not the same na kingine price ni one of competition kwenye soko ivo usione kisa bei ipo chini ukais mm nitapeli au nauza mzigo fake just jua dunia kubwa hii kiongozi wangu na pengine ukashangaa mm ndo nikawa suppliers wako just try kuchukua mzigo then ukiona magumashi urudi jf uwambie kua mm nitapeli coz naelewa nin nafanya kiongoz wang so km nlivosema unachofanya ww ni kua curious juu ya bei which is good to goodthinker like you
Mkuu unachofanya nilishafanya Kama majaribio nikala hasara ya maana kabisa.
Flash nyingi za mtandaoni hazina capacity hiyo iliyondikwa kwamba ndio uwezo wake.

Mimi huwa nauza madukani kariakoo hivyo wale wauzaji wakirudishiwa wananirudishia na mm hivyo siwezi kubet.

Nakupa ushauri Kama kweli Unataka kufanya hiyo biashara,kwanza inapaswa flash zako ziwe na signature yako/alama sehemu fulani ili mnunuaji aweze kukurudishia Kama ni mbovu.
La pili ni kwamba hizo GB unazouza wewe hazina soko kubwa Labda Kama Unataka kuuza reja reja na ni Kwa nadra sana,zenye soko ni 32gb kushuka chini hasa 16,8gb
 
Naelewa changamoto ya biashara hii kiongozi asante pia kwa ushauri ,kuhusu ipi size ya memory kati ya 16gb na 32gb au zaid ya hapo , ilikua ni bei tu na km umeona mm sichukui sana izo na nauza 128gb kwa bei ileile ya 16gb au 32gb, naeelewa juu ya vijana wenzangu ambao wengi wakati wanaanza walikutana na matango pori ya kutosha ivo sikushangai ukiwa unaogopa mkuu ila amini ambacho nimepost apa hakuna longolongo wala utapeli 1000%
 
Si kweli kwamba Unauza bei ile ile ya 16na32gb Mkuu, 16 GB ni 6500-6200 ,na 32gbni 7000-7500 Kwa jumla,halafu ujue hii biashara brand ya flash Au memory card inamata Sana sokoni.
Imation ndio brand ambayo ina aminika
 
Back
Top Bottom