Biashara ya memory card na flash inasaidia kujikimu

Biashara ya memory card na flash inasaidia kujikimu

Si kweli kwamba Unauza bei ile ile ya 16na32gb Mkuu, 16 GB ni 6500-6200 ,na 32gbni 7000-7500 Kwa jumla,halafu ujue hii biashara brand ya flash Au memory card inamata Sana sokoni.
Imation ndio brand ambayo ina aminika
Nauza imotion, samsung ,sandisk na ambazo brand yake si maarufu, mm mara nying naangalia functionality japo kweli brand ina matter lakin kumbuka ata fake zipo zinazotumia brand names zinazoaminika mtaan, najuu ya bei za 7000 kwa 32gb kwang ni kaona niekeze kuanzia 128gb kwan naelewa tatizo ni bei za 128gb kua ghari ndo maana mtaani unaona hazi trendy kwan unajua kua uchum wa mtu mmoja si rafiki mtu kutoa 28- 30 kwa ajili ya flash..
 
Kikawaida hakuna biashara isio na changamoto kiongozi ivo mim nipo optimistic nacho jari ni final user awe satisfied ,uyo akinilalamikia nitaumia ila km wewe unaitaji kunikosoa bas siwez kukufunga coz nmawazo yako mkuu
Wee hizo memory card kwa hizo bei unaagiza wapi?labla tuanze hapa kama lengo ni kusaidia wenzako
 
Mimi mnunuzi nitajuaje memory/flash nnayonunua siyo kimeo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakupa offer ww na uyo ndugu mmoja anaitwa mndali ùyoo ambae ananiona tapeli bas andelee kuniona tapeli km 1week nitakua dar na ata km nisipo kua dar mtapa offer zenu mkiona ziko poa tutafanya biashara mkiona magumashi zitakua km sadaka tu
 
Wee hizo memory card kwa hizo bei unaagiza wapi?labla tuanze hapa kama lengo ni kusaidia wenzako
Bro! Naona umefanya km interrogation ongea na watu vzr upate connection wew hunifaham na km hunfaham bas jua sio vbaya kunyamza na kuangalia ambao wapo serious watakupa feedback stay tune brother
 
Back
Top Bottom