Biashara ya memory card na flash inasaidia kujikimu

Si kweli kwamba Unauza bei ile ile ya 16na32gb Mkuu, 16 GB ni 6500-6200 ,na 32gbni 7000-7500 Kwa jumla,halafu ujue hii biashara brand ya flash Au memory card inamata Sana sokoni.
Imation ndio brand ambayo ina aminika
Wakuu, mbona nyie mnaongea bei rahisi hivyo za Flash! Mbona mtaani wanatuuzia bei kubwa? Juzi tu haa nimenunua Flash Gb 32 waliniambia Elfu 30...Bahati nzuri nilikuwa na Elfu 20, nikawaambia ndo niliyonayo...yani hapo ni baada ya kubembeleza na kukaribia kuondoka.
 
Reja reja Lazima wakubamize Mkuu, hizo bei ni zile ambazo nauza kwa Wenye maduka kkoo ili na wao wauze jumla.
Kwa mfano hiyo GB 32 huyo aliyekuuzia kanunua 11-12000 Kama ni kariakoo
 
biashara yangu ya chuoni hii,nafikiria kuifanya tena ila bado ninamashaka na kiwango cha ubora cha bidhaa zako
 
Mtoa Uzi bado upo??

Kama ni utapeli basi chama la blues ndio umetuvua nguo
 
Ningependa toa shukrani kwa wote wanao chukua mzigo toka kwangu na ningependa toa samahan kwa wale ambao walitoa oder na hawakubahatika kupata na wengine nikiwatumia picha za mzigo ulobaki uwa wanasema hawaitaji aina hio, bas km ukiwa unaitaji mzigo plz plz tuma sms/WhatsApp ukieleza unaitaji mzigo kiasi gani , ukubwa(gbs) na kampuni unayoitaji ili iwe rahis kwangu kujua exactly idadi ya mzigo unaiitaji kusambazwa but km ukinipigia tu ukisema unataka bila ku specify itakua shida mm kujua demand na kiasi gn ni supply kwako.. shukran sana[emoji120][emoji120]
 
Reja reja Lazima wakubamize Mkuu, hizo bei ni zile ambazo nauza kwa Wenye maduka kkoo ili na wao wauze jumla.
Kwa mfano hiyo GB 32 huyo aliyekuuzia kanunua 11-12000 Kama ni kariakoo
GB 16 mnauza bei gani kwa sasa ?.
 
GB 16 mnauza bei gani kwa sasa?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…