Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Post zako nyingi nimeona unawahamasisha watu wakimbie waende maporoni kutafuta mipunga ! Kaka sio kila mtu anaweza kazi hizo za mateso . Kuna biashara zingine unatumia tu akili kuteka akili za watu wakuletee pesa umemaliza , huitaji kuhangaika porini na magunia ya mpunga !Fungua stationery achana na huo upuuzi, au Fungua duka la nguo hapo upige hela, vile vile unaweza fungua mgahawa achana na hizo biashara za kitoto.
Ukishakuwa creative huna haja tena ya maoni ya watu, kwani unaotaka maoni kwao labda hawajafikia level yako. We endelea na huo ucreative kama uko serious.Unauita upuuzi kwa kigezo kipi kaka ? Tatz unakariri biashara zile zile ambazo watu wameshsarundikana , jaribu kuwa creative ndg yangu.
Ushaur mzur mkuu . Una logic .Jifunze kuwekeza biashara isiyohotaj msim,zwe kwel umelenga zaid wanafunz sawa sikukatalii ila ili uwe mfanya biashara mzur na mwenye mafanikio mbelen weka biashara ambayo haichagui aina fulan ya wanunuz wa bidhaa yako au huduma yako,,lenga wanafunz na wa nje ya wanafunzi..goodmorng
Ha ha habhabh ha ha ha ha ha ha ha ha hAlaf nyie mods wa jf tuheshimiane , mnajua nawekeza tsh ngap kwenye hii biashara mpk mnabadilisha post yangu mnasema ni kibanda? Mnajua hata sehm niliyopanga kufungua ina size gan na hali gani?Acheni dharau na kukariri !
Nishauri mkuu niwekeze wapi?Poor Mechanism, tafuta Kingine Kaka
Nimekwambia ukanunue mpunga?Post zako nyingi nimeona unawahamasisha watu wakimbie waende maporoni kutafuta mipunga ! Kaka sio kila mtu anaweza kazi hizo za mateso . Kuna biashara zingine unatumia tu akili kuteka akili za watu wakuletee pesa umemaliza , huitaji kuhangaika porini na magunia ya mpunga !
Ulimaanisha nn kuita idea yangu ya kipuuz? Maana yake ya kwako ya kutafuta mipungga maporoni ndio ya kijanja au sio mkuu?Nimekwambia ukanunue mpunga?
Nishaur mkuu niwekeze wap
Nashkuru kwa ushauri mkuu, uko vizuri.Chief, unaposema nkushauri sitoweza maana hapo hata sipajui palivyo,nimekujua hio biashara mbaya kwa aina ya watu uliolenga chuo video game? Mimi nimepita chuo sijaona hayo,na karibu nliokuwa nao asilimia 99 hakuna hicho unachosema,magame kama hayo ni ya watoto tena palipochangamka utapiga pesa sana,idea za ujasiriamali utazipata kupitia unapoishi,wewe unapenda nini changamoto ila trust me go and redo the reseach you will come up with the right idea ya uwekezaji
Mkuu.Nimecheza Sana Games Zako Ruaha Kilombero,hongera!nimesoma ilo somo lako vzuri na umetoa maelezo yakutosha safi kabsa mi ni fundi wa izo ps2 na ps3. mi naweka games kwenye flash usb za ps2 na kubadlisha ps2 kutumia flash pia na.jailbreak ps3 ziwe zinatumia flash na kuinstall games kwny hdd yake......ila ps3 inategemeana na model no. ili kuweza kui.jailbreak if anyone interested with jailbreak call me 0715166540 my ofisi ipo kkoo mtaa wa lindi na msimbazi ukiulizia chriss utanipata
Anko.Niliwahi kufanya hii mkuu... Watoto walikuwa wanapenda sana Ps2 na wachache PS 3...
Bei...Ps 2 nusu saa ni 500 Ps 3 ilikuwa 1000/ per 30 minutes
Karibuu[emoji41] [emoji41] [emoji41]Anko.
Tunaweza kuongea kuhusu hii biashara?
Nataka kufungua soon
Nataka kuanza na PS 2 Mbili.Bei ipoje kwa moja?iwe mpya.Karibuu[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Upo wapi mkuuNataka kuanza na PS 2 Mbili.Bei ipoje kwa moja?iwe mpya.