Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Post zako nyingi nimeona unawahamasisha watu wakimbie waende maporoni kutafuta mipunga ! Kaka sio kila mtu anaweza kazi hizo za mateso . Kuna biashara zingine unatumia tu akili kuteka akili za watu wakuletee pesa umemaliza , huitaji kuhangaika porini na magunia ya mpunga !Fungua stationery achana na huo upuuzi, au Fungua duka la nguo hapo upige hela, vile vile unaweza fungua mgahawa achana na hizo biashara za kitoto.