Usipokee mtoto alievaa sare za shule!! Usiruhusu ugomvi kwenye biashara yako ... ukizuia hiyo defender watakuja kukupa ulinzi tuu!! Sijawahi kusumbuliwa na polisi ...labda sungu sungu watakuja kukuambia maneno maneno ila ukiwapa 10k wanakua walinzi wakoWazee wa defender uwa wasumbufu sana pia kwenye hii biashara
ANAJITAHIDI SANA .. HAZINGUI HATA KIDOGO !! Kwa mwezi namlipa 70k usiwe mbinafsi kumbana sana maana riziki hutoi wewe anatoa MUNGU ... mtaji wangu nilisha rudisha ndani ya miezi 13 hata zikilipuka zote saivi sina hasara ... kama biashara inajiendesha bila uwepo wako na unapata 15k kila siku inabidi umuheshimu sana anaesimamia biashara yako ...Mtu aliekua anakusimamia nae mzinguaji
Ni biashara nzuri sana kikubwa location tuMkuu umeshawahi fanya hii biashara? Unaizungumziaje kutokana na uchambuzi huo juu?
ShukraniNi biashara nzuri sana kikubwa location tu
Sehemu nzuri ni
1-Town
2-Kitaa ila pawe pamechangamka
3-Around University campus
Wapi zinapatikana kwa bei nzuri ? Na specifications zinakuwaje?
Popote ulipo zipoWapi zinapatikana kwa bei nzuri ? Na specifications zinakuwaje?
Kama unae ndugu Kenya utapata kwa bei nafuu!! ...Wapi zinapatikana kwa bei nzuri ? Na specifications zinakuwaje?
Huu ni uongo. Hamna uhalisia hapa.Biashara moja ya kiboss sana.
Tafuta ps3 tatu na ps4 moja na ps2 moja. Then tv 4 za inch 32 kwaajili ya ps3 nanps4 na tv moja inch 22 flat kwaajili ya ps2.
Chukua kibali ambacho ni 20k kwq miaka miwili. Anza kula faida ya 20k j3 hadi j5 then 30k to 40k alhamisi na ijumaa. 50k jmos na jpili.
Mkuu fanya mchangauo wa gharama zote za vifaa ulivyovitaja hapo juu.. tufahamu ! AsanteBiashara moja ya kiboss sana.
Tafuta ps3 tatu na ps4 moja na ps2 moja. Then tv 4 za inch 32 kwaajili ya ps3 nanps4 na tv moja inch 22 flat kwaajili ya ps2.
Chukua kibali ambacho ni 20k kwq miaka miwili. Anza kula faida ya 20k j3 hadi j5 then 30k to 40k alhamisi na ijumaa. 50k jmos na jpili.
Mkuu inamaana wewe ume wekaza zaidi ya 5MANAJITAHIDI SANA .. HAZINGUI HATA KIDOGO !! Kwa mwezi namlipa 70k usiwe mbinafsi kumbana sana maana riziki hutoi wewe anatoa MUNGU ... mtaji wangu nilisha rudisha ndani ya miezi 13 hata zikilipuka zote saivi sina hasara ... kama biashara inajiendesha bila uwepo wako na unapata 15k kila siku inabidi umuheshimu sana anae simamia biashara yako ...
Ukiingia kwenye hii biashara kwa namba anazoandika huyo bwana jiandae kwa disappointment.Mkuu fanya mchangauo wa gharama zote za vifaa ulivyovitaja hapo juu.. tufahamu ! Asante
Mkuu uliagiza Kenya?Kama unae ndugu Kenya utapata kwa bei nafuu
Kwa uzoefu wako, Hasara kwa upande wako ni kubwa kuliko faida ? Umeongea changamoto za msingi kabisa mkuu!Kutengeneza button moja tu ya pad za PS4 sio chini ya elfu 30.
CD ikisizingua tu, moja sio chini ya 120K OG, ku update mashine sio chini ya 30GBs za internet yenye speed kali.
Mkiongea haya mambo ongeeni kwenye uhalisia wake.
Nafanya hii biashara, usipokuwa makini, watu wavuta analogy joyride kama uoinde wa mshale, utajuta.... Zinameguka, spare elfu 60 [emoji23][emoji23][emoji23]
5M nyingi sana!! Mimi mpaka leo sijaweza kuweka PS4 natumia PS3 ... !! Nilichukua TV tatu inch32 kila moja 300,000 kampuni STAR X (duka lampard electronics)kwa hiyo jumla 900k.......Mkuu inamaana wewe ume wekaza zaidi ya 5M
Hapana nilinunu kwa mtu !! ILA KWA USHAURI KAMA NDIO UNAANZA HII BIASHARA ANZA NA PS3 utajifunza mengi sana ukirudisha hela yako ya mtaji .... mapato unayo fata anza kununua PS4 taratibu ... ni pasua kichwa kwenye upande wa PADS .. watoto hawaelewi wanabonyeza tuu hawajali ... sasa pad moja ya ps3 mchina inakaa mwezi mmoja nanunua 15k .. pad moja ya ps4 mchina bei 85k na inaweza isimalize miezi miwili unajikuta unachezea hasara!!Mkuu uliagiza kenya?